Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
ok. πUtawala wa hayati Magufuli uliona tatizo la gharama za matengenezo ya barabara zinazoelekea bandarini, hivyo rais Magufuli akaamua kujenga bandari kavu mkoa wa pwani eneo la Kwala, na ili itumike ikaamuliwa iunganishwe na reli ya sgr. Uwepo wa reli hiyo ungeiingizia mapato serikali ambayo yangetumika kuiendeleza reli hiyo kwenda bara na nchi jirani, lakini wahujumu wakabuni njia ya kujitajirisha kwa kununua ghafla malori mengi ili wasafirishe mizigo kwenda bara na kuipiga teke bandari kavu ya Kwala! Uamuzi unaotekelezwa na viongozi wa juu wa CCM ambao ni walinzi wa uchumi wa nchi huku wakijua reli bila kubeba mizigo inakuwa haina faida kwani hakuna nchi inajenga reli kwa ajili ya kusafirisha abiria na ili lengo liende kwa mafanikio wakazuia upatikanaji wa katiba mpya ambayo huenda ingewabana.
Wachumi wote wanajua bila mizigo reli inakufa kama ilivyotokea kwa reli ya TAZARA ambyo imejikuta ikikosa mizigo na kuambulia abiria ambao hawasaidii upunguzaji gharama za uendeshaji. Tujikumbushe reli ya Mtwara kwenda Nachingwea ambayo baada ya mradi wa mkonge kukwama ikabidi kuing'oa. Viongozi wamekua wakituhadaa kwa kujikita kupigia chapuo muda mfupi abiria wanaotumia kusafiri kati ya miji bila kujua nauli zitapanda mara dufu kufidia gharama za uendeshaji kutokana na mizigo mingi kubebwa na malori ambayo yanatuingizia gharama za matengenezo ya barabara kila mwaka huku wamiliki wakitajirika bila gharama! Ni raha iliyoje.
Wakati CCM wanaijenga wewe na lisu mlikuwa unaipinga leo unaseje mamaUtawala wa hayati Magufuli uliona tatizo la gharama za matengenezo ya barabara zinazoelekea bandarini, hivyo rais Magufuli akaamua kujenga bandari kavu mkoa wa pwani eneo la Kwala, na ili itumike ikaamuliwa iunganishwe na reli ya sgr. Uwepo wa reli hiyo ungeiingizia mapato serikali ambayo yangetumika kuiendeleza reli hiyo kwenda bara na nchi jirani, lakini wahujumu wakabuni njia ya kujitajirisha kwa kununua ghafla malori mengi ili wasafirishe mizigo kwenda bara na kuipiga teke bandari kavu ya Kwala! Uamuzi unaotekelezwa na viongozi wa juu wa CCM ambao ni walinzi wa uchumi wa nchi huku wakijua reli bila kubeba mizigo inakuwa haina faida kwani hakuna nchi inajenga reli kwa ajili ya kusafirisha abiria na ili lengo liende kwa mafanikio wakazuia upatikanaji wa katiba mpya ambayo huenda ingewabana.
Wachumi wote wanajua bila mizigo reli inakufa kama ilivyotokea kwa reli ya TAZARA ambyo imejikuta ikikosa mizigo na kuambulia abiria ambao hawasaidii upunguzaji gharama za uendeshaji. Tujikumbushe reli ya Mtwara kwenda Nachingwea ambayo baada ya mradi wa mkonge kukwama ikabidi kuing'oa. Viongozi wamekua wakituhadaa kwa kujikita kupigia chapuo muda mfupi abiria wanaotumia kusafiri kati ya miji bila kujua nauli zitapanda mara dufu kufidia gharama za uendeshaji kutokana na mizigo mingi kubebwa na malori ambayo yanatuingizia gharama za matengenezo ya barabara kila mwaka huku wamiliki wakitajirika bila gharama! Ni raha iliyoje.
Hiyo ndiyo hoja yako ya siku! Hauna tofauti na hao wasiotaka sgr isibebe mizigo ibebe abiria.Wakati CCM wanaijenga wewe na lisu mlikuwa unaipinga leo unaseje mama
USSR
Waliipinga sababu walijua wahuni wataihujumu kama hiviWakati CCM wanaijenga wewe na lisu mlikuwa unaipinga leo unaseje mama
USSR
ok. π
hakuna hujuma SGR gentleman,Ingekuwa zama zileee Uzi huu ungeupinga jentromeni
Soma uelewe kisha andika, acha kukurupuka mradi tu utetee usichokijua.hakuna hujuma SGR gentleman,
safari zinakwenda vizuri sana na zote ziko full kila siku ya safari.
ni muhimu kuendelea kutumia mtandao kufanya booking za usafiri wa SGR na itapendeza zaidi π
Na ndivyo wamesusa makontena yabebwe na sgr wanataka malori yao yafanye kazi hiyo.Waliipinga sababu walijua wahuni wataihujumu kama hivi
Utawala wa hayati Magufuli uliona tatizo la gharama za matengenezo ya barabara zinazoelekea bandarini, hivyo rais Magufuli akaamua kujenga bandari kavu mkoa wa pwani eneo la Kwala, na ili itumike ikaamuliwa iunganishwe na reli ya sgr. Uwepo wa reli hiyo ungeiingizia mapato serikali ambayo yangetumika kuiendeleza reli hiyo kwenda bara na nchi jirani, lakini wahujumu wakabuni njia ya kujitajirisha kwa kununua ghafla malori mengi ili wasafirishe mizigo kwenda bara na kuipiga teke bandari kavu ya Kwala! Uamuzi unaotekelezwa na viongozi wa juu wa CCM ambao ni walinzi wa uchumi wa nchi huku wakijua reli bila kubeba mizigo inakuwa haina faida kwani hakuna nchi inajenga reli kwa ajili ya kusafirisha abiria na ili lengo liende kwa mafanikio wakazuia upatikanaji wa katiba mpya ambayo huenda ingewabana.
Wachumi wote wanajua bila mizigo reli inakufa kama ilivyotokea kwa reli ya TAZARA ambyo imejikuta ikikosa mizigo na kuambulia abiria ambao hawasaidii upunguzaji gharama za uendeshaji. Tujikumbushe reli ya Mtwara kwenda Nachingwea ambayo baada ya mradi wa mkonge kukwama ikabidi kuing'oa. Viongozi wamekua wakituhadaa kwa kujikita kupigia chapuo muda mfupi abiria wanaotumia kusafiri kati ya miji bila kujua nauli zitapanda mara dufu kufidia gharama za uendeshaji kutokana na mizigo mingi kubebwa na malori ambayo yanatuingizia gharama za matengenezo ya barabara kila mwaka huku wamiliki wakitajirika bila gharama! Ni raha iliyoje.
relax bas gentleman,Soma uelewe kisha andika, acha kukurupuka mradi tu utetee usichokijua.
Kama kawaida uelewa mdogo. Tunaongelea treni za mizigo na matumizi ya bandari kavu ya kwala, sio treni tatu za abbiria.hakuna hujuma SGR gentleman,
safari zinakwenda vizuri sana na zote ziko full kila siku ya safari.
ni muhimu kuendelea kutumia mtandao kufanya booking za usafiri wa SGR na itapendeza zaidi π
Gentleman,Kama kawaida uelewa mdogo. Tunaongelea treni za mizigo na matumizi ya bandari kavu ya kwala, sio treni tatu za abbiria.
Weka ushahidi cdm wakipinga, na weka ushahidi kuwa hiyo reli ni fedha za ccm na sio za mkopo zitakazolipwa na watanzania wote.Wakati CCM wanaijenga wewe na lisu mlikuwa unaipinga leo unaseje mama
USSR
Ni mjinga tu ndiye anadhani reli hujengwa kwa lengo la kubeba abiria bila kujua abiria ni ziada tu, kutokana na lengo la kubeba mizigo ndiyo sababu reli huanzia bandarini na siyo kati ya mji na mji.relax bas gentleman,
hakuna haja ya mihemko,
nimelazimika kumueleza muungwana aliereply comment yangu ya kwanza, ujumla wa hali ya mradi wa SGR unavyoendeshwa kwa weledi wa kiwango cha juu sana kimtandao. Na nikasisitiza wananchi kuendelea kutumia mtandao kufanya booking ya safari za usafiri huo wa uhakika zaidi Tanzania.
sikua na haja ya kubabaika wala kupoteza wangu kudeal na porojo zako zingine ambazo kwakweli hisia binafsi useless kweli π