Hujuma waliofanyiwa wachezaji wetu wa Yanga tunatakiwa tujifunze


Mkuu hii mbinu ya paka ni noma [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ile ya moshi ndio nzuri, paka elfu moja wakiruhusiwa itakua ngumu kuwamudu na kuendelea na mpira tena
 
Achana na mambo ya paka. Kama mko serious kwa vita hiyo, kusanyeni viatu mvirushe uwanjani, hiyo ni dharau kubwa kwa mwarabu. Ila najua nyie waswahili mnaongea tu maana hizi figisu zimekuwepo miaka yote.
 
Wale jamaa kufika dk ya 70 upepo ulikata, wakaanza kurusha mafataki,mara warushe mipira mitatu mitatu,wajiangushe, ili mradi kututoa mchezoni maana dk hizo yanga kwa zile sub alifungulia busta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa busta gani nawee? Acha fix bhana, hata km waarabu wasingefanya hujuma bado msingepata bao jingine palee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa busta gani nawee? Acha fix bhana, hata km waarabu wasingefanya hujuma bado msingepata bao jingine palee.
Mwakarobo na mwakani tena,tuna set standard nyie mtafuata.
 

Yanga ni washindi, mengine hayana maana
 
Acheni ushamba hamjui na hamna uzoefu na mashindano. Sasa huko ni kwa loosers ingekuwa Champions League ingekuaje. Nyamazeni jipangeni. Mko vizuriiii
Kama umeangalia final ya Al ahly na wydad nafikiri umeona mpira ukichezwa uwanjan na sio upumbavu wa huko algeria.

Mbona Al ahly wamecheza Mpira bila huo upumbavu wa kurusha mipira 4 uwanjani kuchoma ,kutumia moshi mzito mpka mechi kusimama?

Ach ushabiki usio na maana
 
Nashkuru kwa kunisaidia kumjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…