Hujuma waliofanyiwa wachezaji wetu wa Yanga tunatakiwa tujifunze

Ile ya moshi ndio nzuri, paka elfu moja wakiruhusiwa itakua ngumu kuwamudu na kuendelea na mpira tena
Nandio mpira utakua umemaliza hapo dakika ya hiyo hiyo tunachukua ubingwa kiurahisi.
 
Wakati mnawapokea kaizer chiefs enzi zile mmesahau leo yamewafika hapa mnajidai mnataka support
 
Kitengo cha paka wapewe Simba..!!
Cc Kalpana, GENTAMYCINE, cocastic et el
 
NOTE:

Moderators mnafuta maandishi yangu kwa misingi gani ikiwa sijamtukana Mtu yeyote?

Tangu wiki jana mmefuta mara 2 nikapotezea, jana tena niliandika hapa ujumbe wangu kwenye uzi huu pia mkafuta.

Acheni upuuzi bhana, mawazo, bando na muda wangu afu kila nikiandika mnafuta tu kama vile mnasaidia ubongo wangu kuchanganua kipi cha kutenda.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…