mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha.
Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani.
Mama huyo mrembo kweli kweli baada ya kuchora tatoo hiyo, mumewe alimkomalia aifute ila akagomaa Baada ya kugoma mume aliamua kumtwanga talaka.
Nabii baada ya kusikia hayo alimualika kanisani na kuvutiwa na kitendo hicho cha kuchorwa jina lake begani kwa mshangazi huyo bila kusikitishwa na kitendo cha talaka.
Kuonyesha furaha yake alimzawadia milioni sita kama shukrani kwa alichokiita mahaba yaliyopitiliza.
Wajinga wangalipo,take care