Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibiblia sio sahihi sababu tattoo zimekatazwa sana ndani ya biblia.JE ni sahihi
Usifananishe HABARI NJEMA{maandiko MTAKATIFU} na kiki za makahaba na wazinziHabari za Yesu kufa na kufufuka ilitokea lini,mbona kila mara tunahubiriwa
Halafu halindwa na mabaunsa kwa maana kwamba haamini ulinzi wa Mungu.basi hatumii maandiko tunayotumia sisi,, sababu imeandikwa heri wapatanishi.
ukute demu mwenyewe ni pisi kali ataachaje?Nabii anamkojolea huyo demu ndo maana!!
Uzuri mume alishtuka akasepa
nabii hajui mapenzi yao yakoje na hajali kuachana kwao, kafurahia kuchorwa mwilini mwa demu huyoPoint iko hapo,nabii hakuguswa na kuachana kwao,bali kuchorwa begani
Wala hata ni limama tu hiloukute demu mwenyewe ni pisi kali ataachaje?
Issue imeripotiwa miaka mitatu sijui minne iliyopita wewe ndiyo mpia kwako.Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha.
Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani.
Mama huyo mrembo kweli kweli baada ya kuchora tatoo hiyo, mumewe alimkomalia aifute ila akagomaa Baada ya kugoma mume aliamua kumtwanga talaka.
Nabii baada ya kusikia hayo alimualika kanisani na kuvutiwa na kitendo hicho cha kuchorwa jina lake begani kwa mshangazi huyo bila kusikitishwa na kitendo cha talaka.
Kuonyesha furaha yake alimzawadia milioni sita kama shukrani kwa alichokiita mahaba yaliyopitiliza.
Wajinga wangalipo,take care
hapo kwenye kulindwa mwache tu anajua yeye maadui zake,,coz maandiko hayo hayo yanakwambia watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Halafu halindwa na mabaunsa kwa maana kwamba haamini ulinzi wa Mungu.
Kuna demu aliwahi nichora jina langu tattoo kwenye bega lake.Kuna single mother nimempenda ila kachora tatuu shingoni na kwenye titi lake, namuona ni muhuni tu na kahaba fulani. Sasa huyo mwanandoa kuchora jina la nabii huyo nao ni uhuni tu
Hahahaha 😂 😂 😂 🙌🏾Kuna demu aliwahi nichora jina langu tattoo kwenye bega lake.
Siku moja niligumia simu yake nikakuta anachat na jamaa mwingine akiwa anamuondoa wasiwasi kuwa hilo jina la tattoo ni la marehemu kaka yake na walikuwa close sana ndio maana alimchora kumuenzi.
Hahahaha 😂 😂 😂 🙌🏾Kuna demu aliwahi nichora jina langu tattoo kwenye bega lake.
Siku moja niligumia simu yake nikakuta anachat na jamaa mwingine akiwa anamuondoa wasiwasi kuwa hilo jina la tattoo ni la marehemu kaka yake na walikuwa close sana ndio maana alimchora kumuenzi.
Na ipo celebrityHii habari mbona ni ya muda sana na ilitrend sana huyo dada akihojiwa kanisani na huyo Pasta na hiyo tatoo ilikuwa begani kwa nyuma kuelekea mgongoni