Nabii anamkojolea huyo demu ndo maana!!Mmmmh nabii anafurahia watu kutengana,, inafikirisha sana.
Leo ni kumbukizi ya miaka kadhaa tangu tukio hilo litokee.Hii habari mbona ni ya muda sana na ilitrend sana huyo dada akihojiwa kanisani na huyo Pasta na hiyo tatoo ilikuwa begani kwa nyuma kuelekea mgongoni
Umenunua lini simujanja ?Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha.
Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani.
Mama huyo mrembo kweli kweli baada ya kuchora tatoo hiyo, mumewe alimkomalia aifute ila akagomaa Baada ya kugoma mume aliamua kumtwanga talaka.
Nabii baada ya kusikia hayo alimualika kanisani na kuvutiwa na kitendo hicho cha kuchorwa jina lake begani kwa mshangazi huyo bila kusikitishwa na kitendo cha talaka.
Kuonyesha furaha yake alimzawadia milioni sita kama shukrani kwa alichokiita mahaba yaliyopitiliza.
Wajinga wangalipo,take care
Mtoa mada alikuwa hayupo duniani kipindi hicho, karudi leo na kufunuliwa hilo tukio ndo akalileta hapa....Hii habari mbona ni ya muda sana na ilitrend sana huyo dada akihojiwa kanisani na huyo Pasta na hiyo tatoo ilikuwa begani kwa nyuma kuelekea mgongoni
Hata yeye alishatengana na mkewe so acha afurahie wengine kutengana.Mmmmh nabii anafurahia watu kutengana,, inafikirisha sana.
Nabii baada ya kusikia hayo alimualika kanisani na kuvutiwa na kitendo hicho cha kuchorwa jina lake begani kwa mshangazi huyo bila kusikitishwa na kitendo cha talaka.
Na maana halisi ya ndoa ni submission kwa mwanamke, provision kwa mwanaume. Umeongea kitu kikubwaMkeo akiwa mtu wa kanisani kwa nabii yoyote yule hawezi ku submit 100 kwa mumewe.
Na kama anafanya kazi ndio balaa lingine.
Badala ya list ya ku submit kuwa hivi;
1. Mume
2.Mchungaji
3.Boss
Mambo hugeuka na kuwa juu chini.
1.Mchungaji(hapa mkeo akiambiwa vua chupi iombewe anavua, wewe ukimwambia atakataa)
2.Boss(hapa akiambiwa jumapili aende kazini ataenda hata ukimkatalia)
3.Mume(ndio unakua wa mwisho, unaeza kumwambia akuvulie chupi akakataa na usiwe na uwezo wa kumfanya chochote)
Kataa ndoa kuliko kuteseka kumlinda mtu mzima mwenzio kwa kisingizio cha ndoa.
basi hatumii maandiko tunayotumia sisi,, sababu imeandikwa heri wapatanishi.Hata yeye alishatengana na mkewe so acha afurahie wengine kutengana.