Huko Kenya moto si wa kitoto

Ngoja tuone pengine kuna jambo la kujifunza.
 
Katiba mpya imewasaidia nini kupata chaguzi bila makelele kama haya?

katiba imewasaidia kupata kiongozi chaguo la raia na hata walipo ya challenge matokeo mahakamani walishindwa. haya ni makelele tu ambayo kama hayana msingi hata raia watayapuuzia hiyo siku.
Na kama yana msingi na maandano yakamfikia bila shaka ujumbe utamfikia aliyemadarakani na atajirekebisha au kuondolewa.
wenye katiba mbovu hatuwezi kuchallenge matokeo wala kuingia barabarani.
 
...kumuweza au kumshindwa mtu ni kila mmoja ana namna yake ya ku handle issues. Raila alijiandaa kumsumbua Uhuru mwisho wake tuliona vile Uhuru alim neutralize in a way amnayo yeye Raila alijikuta anapoteza mbele ya Rutto, hiyo ni brain ya jinsi ya kum handle mtu.

The last time I heard, sikumsikia Rutto akimpiga beat Raila, bali watu wanatengeneza hizo story kwa sababu zao, nilichokisikia ni Rutto akim please Raila ku reconsider ili mchi idonge and lastly Raila anachohitaji ni kamnofu kadogo tu kama alivyo rudhiwa na Uhuru, na hivyo mdivyo wanavyom handle and it has no harm kwao sababu kwa Raila tayari ni jioni hivyo wataenda naye kwa mwendo wa kumrushia vimnofu tu.
 
Katiba mpya imewasaidia nini kupata chaguzi bila makelele kama haya?

Kenya wamejivua nguo na dunia iliwaheshimu hasa baada ya kuhoji matokeo mahakamani, lakini Raila kuanza kuandamana kwa madai ya kuibiwa kura ilihali alikubali matokeo mahakamani ni ujinga mkubwa na wenye akili kwa sasa wamemdharau jumla, hapo atawanasa vijana wasio na ajira wengi na wale wakenya waliokata tamaa na maisha, lakini kiuhalisia mabadiliko ya kidunia yamepelekea kila sehemu na nchi zote gharama za maisha kua juu, na kinachofanyika ni kila serikali kubalancebalance mambo ili yakae sawa lakini cost of living ni dunia nzima ziko juu
 
What is way forward is there is no politician in Africa!.....stop blaming.....at least there are trying
 
Ruto Hana baya ila huyu Mzee yeye ndiye alikuwa kwenye systeam ,anapaswa kutuambia alishindwaje na mtu aliye nje ya systeam? Hana jeshi na Hana polisi wote walikuwa kwa raila odinga! Kama aliwashinda bila msaada wowote wa Dola ndio mtamuweza akiwa na dollar?
 
Raila Amolo Odinga [RAO]
 
Kwako wewe faida ya katiba mpya ni uchaguzi?hata kama Taifa litapata mgawanyiko mkubwa mradi uchaguzi uingize watu unao wataka basi katiba mpya ndo ina faida
 
Kwako wewe faida ya katiba mpya ni uchaguzi?hata kama Taifa litapata mgawanyiko mkubwa mradi uchaguzi uingize watu unao wataka basi katiba mpya ndo ina faida

Katiba hiyohiyo ndio inawapa uhuru wa kuandamana provided that serikali haitimizi iliyoahidi. Ndio maana nikasema kama madai ya wanaotaka kuandamana ni kweli,basi maandamano hayo yataleta mafanikio kwa serikali kushughulikia malalamiko yao au iondolewe. Na kama sio kweli basi wito huo wa maandamano utapuuzwa.
 
Raila na Ruto ni 50/50

Polisi wa kumdhibiti Raila wanapaswa wawe wengi kwelikweli
 
Ruto aache kibri.

Alishauriwa amkaribishe ODINGA washare power sababu walikuwa 50/50 akapuuza.

Hana HAKI ya kuzuia maandamano kikatiba, na hivyo polisi wanaweza kuwaachia wananchi wakapige selfie IKULU.

Matokeo, Jeshi litachukua usukani na wakimbizi watakuwa mlangoni kwetu.

TANZANIA iwe makini sababu kutotulia Kwa majirani kunaweza ambukiza na watoto wetu ukorofi, maana huku njaa pia IPO.
 
Acha Tuone Maana Raila Kasema Hakuna Wa Kumpiga Risasi
Amewahakikishia Wananchi Mitaa Watakayofanya Maandamano
Hakuna Duka Lolote Litakoibiwa Bidhaa, Wanafanya Yote Kwa Amani
Amewasihi Police Walinde Amani Tu
 
maana Raila alianza maandamano karibu county zote alivomaliza sasa anataka afanye maandamano kitaifa ili aende hadi ikulu kumtoa ruto, Raila yuko more calculated kwenye hiyo move
But I politics Ruto is smarter than Odinga by far. Odinga ataambulia aibu ktk hili.
 
Yule Odinga hata Moi alimshindwa ndio sembuse Ruto ambaye Odinga ndio alimpa uongozi ODM!!

Ajaribu kutoa pua yake jumatatu ndio ataelewa why Kenyatta alikubali yaishe. Odinga ana watu akiamua kulianzisha trust me nchi itaingia vitani
Acha tuone. Jumatatu siyo mbali
 

Ruto mwenyewe ameshindwa kudeliver, amebakia kuwagawia vyeo watu wake walioshindwa uchaguzi mkuu.
 
Naomba kuuliza...je legality ya matokeo ya uchaguzi ambayo imekuwa ikisemwa na kina Raila ikoje...ni kweli kura ziliibwa ama la..!! Tuanzie hapa twende mbele Sasa

Tatizo la ule uchaguzi waliachana kidogo Sana kwa Kira laki tatu na hizo zinatokea ngome ya UDA Central na Right Valley. Sasa kaeneo kamoja ndiko kanaamua Rais , shida ndio ipo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…