Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kila mpiga kura ataingia barabarani?Nairobi ni ya ODM na bunge la kaunti lipo chini Yao. Pia na makabila ya mrengo wa Odinga yaani akamba, luo, Luhya ni wengi pale Nairobi so maandamano yoyote Yale Ruto atazidiwa nguvu.
Au ni vijana jobless wasio na mbele wala nyuma ndo wataingia barabarani?