Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Mar 18, 2023 #81 zitto junior said: Nairobi ni ya ODM na bunge la kaunti lipo chini Yao. Pia na makabila ya mrengo wa Odinga yaani akamba, luo, Luhya ni wengi pale Nairobi so maandamano yoyote Yale Ruto atazidiwa nguvu. Click to expand... Kila mpiga kura ataingia barabarani? Au ni vijana jobless wasio na mbele wala nyuma ndo wataingia barabarani?
zitto junior said: Nairobi ni ya ODM na bunge la kaunti lipo chini Yao. Pia na makabila ya mrengo wa Odinga yaani akamba, luo, Luhya ni wengi pale Nairobi so maandamano yoyote Yale Ruto atazidiwa nguvu. Click to expand... Kila mpiga kura ataingia barabarani? Au ni vijana jobless wasio na mbele wala nyuma ndo wataingia barabarani?
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 Mar 18, 2023 #82 Bavaria said: Kila mpiga kura ataingia barabarani? Au ni vijana jobless wasio na mbele wala nyuma ndo wataingia barabarani? Click to expand... Nairobi ni 80% Odinga whether Wana kazi or not kule siasa ni kufa na kupona. Watu wameandaa mabasi kutoka kisumu Famasiala Nini?
Bavaria said: Kila mpiga kura ataingia barabarani? Au ni vijana jobless wasio na mbele wala nyuma ndo wataingia barabarani? Click to expand... Nairobi ni 80% Odinga whether Wana kazi or not kule siasa ni kufa na kupona. Watu wameandaa mabasi kutoka kisumu Famasiala Nini?
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Mar 19, 2023 #83 Hakika nakuambia Mzee Odinga, kabla jogoo hajawika Leo usiku wa kuamkia kesho Jumatatu, watu wako watakukana mara tatu.
Hakika nakuambia Mzee Odinga, kabla jogoo hajawika Leo usiku wa kuamkia kesho Jumatatu, watu wako watakukana mara tatu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 19, 2023 #84 Ngoja tuone ujasiri wa majirani...
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,459 Reaction score 3,576 Mar 19, 2023 #85 Wakianza mambo yao ya kuuana wasije bongo,wakimbilie huko somalia!huku sie wenyewe hali ngumu