AmenInshallah Mola atie neema na baraka zake mazao yauzike ili uende Darisalama kwa Shunie
Asante nawe pia lala salamaSawa ngoja niwaache mkalale.
Niwatakie usiku mwema Enyi wapendwa katika bwana
Hahahaa!Mndali hujalala tu si ulituaga
Hahahaaaa.Bado sana kulala mkuu nilikuwa naendelea kupanga vya kuja navyo mjini
Noo cyo kila mwenyeji wa Kanda ya ziwa ni msukuma. Kuna makabila karibu 100 ukuHahaha koromije mokoo
Kumbe nawewe ni msukuma??