Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23] hilo ndio zuri mahela tu yamejaaNimeona wananionea Huduma nimeona niwekee begi langu la kusafiria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] hilo ndio zuri mahela tu yamejaaNimeona wananionea Huduma nimeona niwekee begi langu la kusafiria
Naona unamsaidia sana srmat911[emoji23][emoji23][emoji23] nan mwingine nimemkatisha tamaa
Sawa mkuu ila nataka kujua nitakulipa kiasi ganitutakupeleka [emoji23] si una kamba mguuni
Khaaa kwan we ndio umeniambia ninywe mpk nitupie kapichaTupia kapicha ya hako kakinywaji
Hamna hela humo maana bado sijauza mazao[emoji23][emoji23] hilo ndio zuri mahela tu yamejaa
hahaah nimemwaambia ukweli tu mkhubiNaona unamsaidia sana srmat911
[emoji23][emoji23][emoji23] unatukatisha tamaaHamna hela humo maana bado sijauza mazao
Aaaaah ndugu yangu nataka nione watu wa mjini mnavyo faidi vitu vyenye TBSKhaaa kwan we ndio umeniambia ninywe mpk nitupie kapicha
Sawa msema kweli mpenzi wa munguhahaah nimemwaambia ukweli tu mkhubi
Usikate tamaa maana nategemea ninavyo toka huku naenda kuuza mazao ndo nitajaza humo kwa hiyo nikija hapo dar ni full matumizi tu[emoji23][emoji23][emoji23] unatukatisha tamaa
Hahahaaa! Isizidi kipimo basi usije kesho ukashindwa kuamkahe he Emmy niache acha ninywe nikimaliza nitatubu
Nimemwomba kapicha ndo amegoma kisa sija toa of a mimiHahahaaa! Isizidi kipimo basi usije keshi ukashindwa kuamka
Hahahaaa!tutakupeleka [emoji23] si una kamba mguuni
Nakubaliana naye kabisaa! Siku zote kapicha hakanogi kama hujagharamikia kinachonywewa.Nimemwomba kapicha ndo amegoma kisa sija toa of a mimi
Ninasubiri anijibu atanifanyia bei gani kunipeleka kila nitako taka kwenda kupafahamuHahahaaa!
Sawa mkuu maana mi nilitaka kujua kinywaji cha mjini maana kuna vinywaji huwa navisikia kwenye redio tuNakubaliana naye kabisaa! Siku zote kapicha hakanogi kama hujagharamikia kinachonywewa.
Sawa hata kama wamejaa aniambie tu watanifanyia bei gani hata yeye akiwa dalali sio mbayaHebu muache ndugu yangu Shunie wakukuelekeza wamejaa tele ili ramdi uwe na kapesa ka kuwapa
hahahhh subili ufike mjini uone kwa machoAaaaah ndugu yangu nataka nione watu wa mjini mnavyo faidi vitu vyenye TBS