Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ni nini hivyo mazao si unauza huko hukoMkuu kuna vya kuanza kubebe lazima uviweke katika mifuko yake ili iwe rahisi kubebe kupeleka barabarani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nini hivyo mazao si unauza huko hukoMkuu kuna vya kuanza kubebe lazima uviweke katika mifuko yake ili iwe rahisi kubebe kupeleka barabarani
Sawa mkuuGood man
Kumbe umejitosheleza sasa kwa kauli hio ngoja nimshawishi zaidi na zaidi shogangu Shunie
Sawa nitakuja na nguo za mwilini tuau aje tu na nguo za kujia akifika nitampeleka madukani
HahahahhhSawa nitaacha koti makambako kwa kaka huko nitakuja kulingana na mtakavyo nielekeza nivae
hapo sawa mndaliSawa nitakuja na nguo za mwilini tu
Hii kauli yako sijaipenda mkuuanaonekana mzuri huyu ila hawa si ndio wenye utajiri wa punje asinitoe kafara tu
Ok nakuombea ufanikishe mauzo mkuuSawa mkuu nikiuza mazao ndo nakuja nitakuwa na mkwanja wa uhakika
Huku soko haliko vizurNi nini hivyo mazao si unauza huko huko
Asante nitashukuru wenyeji wangu kama hauta niacha sitendihapo sawa mndali
nisamehe mkuuHii kauli yako sijaipenda mkuu
Huku mvua ya kutoshaOk nakuombea ufanikishe mauzo mkuu
Hivi kuna kuvuna kitu mwaka huu kweli si Nilisikia kulikua na mnyauko??
Shunie asije kusubiri mpaka miguu ikaingia tumboni ujue!?
[emoji23][emoji23]Ok nakuombea ufanikishe mauzo mkuu
Hivi kuna kuvuna kitu mwaka huu kweli si Nilisikia kulikua na mnyauko??
Shunie asije kusubiri mpaka miguu ikaingia tumboni ujue!?
Usijali mkuu nimekusamehenisamehe mkuu
kwahiyo mazao unakuja nayo huku kuuzaHuku soko haliko vizur
hatutakuacha stand kabisaAsante nitashukuru wenyeji wangu kama hauta niacha sitendi
Asante kwa kunijulisha mapemaNdo nishamwambia hiyo minguo mingine mwisho makambako hukoo
Hapana nauzia mbeya mjinikwahiyo mazao unakuja nayo huku kuuza
sawa mndali tunakuombea kila la heri uuze salamaHapana nauzia mbeya mjini