Huko nje Watanzania tunadhauraulika sana siku hizi

Tunadhaulika kisa nini mbona hujasema tuelemishe kisa cha kufanya tudharaulike ni kipi ili tujue.
 
Mimi sijawahi kwenda nje na sijui kama ntaenda kwahiyo sina wa kumuonea aibu nchi za kigeni.
 
Tupunguze mawazo mgando, wewe kama unaona unadhauriwa ugenini, rudi nyumbani kumenoga tupo huru, siyo kila kitu wanachoamua mabeberu tunakibeba. Huku kwetu uongozi imara umetumia busara na kuweka mbele maslahi ya wananchi wa Tanzania
 
Sisi tuko ndani wewe huko nje unafuata Nini?
Heshima Yetu iko palepale
 
Unadharaulika Kwa upumbavu wako....
Yeah, kuna watu wameifanya nchi yetu ionekane ni ya watu wapumbavu kutokana na mambo ya kutia kinyaa wanayoyafanya. Ni aibu!!
 
Labda nje ya rwanda uko ubeberuni hawana mda huo wa dharau wao ni Kazi Kazi
 
Hakuna nchi maskini inaheshimika, hata ubaguzi wa watu weusi ni kwa sababu ya umasikini na si rangi, Lazima viongozi waache kuwafanya watu masikini. Umasikini sio ugonjwa na wala sio Babati mbaya, wala si jambo la kuchukua miaka kumi kulimaliza ni njia wanayotumia watawala ili kutawala na kuibia Nchi wanazoongoza.
 
Hii ni kwa sababu tunatawaliwa na msukure fulani hivi a.k.a Zombie
 
Ukiacha hao viongozi je sisi kama sisi wananchi wenyewe ni yapi tumefanya ambayo yanaweza kuzungumziwa na wengine? wenzetu unakuta wananchi wenyewe wana mambo yenye kufanya wasifike mbali na viongozi.
 
Hii ni kwa sababu tunatawaliwa na msukure fulani hivi a.k.a Zombie
Msule hawezi kutawala wasio misule,haiwezekani kila siku matatizo yetu ni viongozi kama vile tunaletewa kutoka sijui wapi huko.
 
Acha kudanganya watu, hakushindanishwa na marais 54 bali walishindanishwa marais 4 walioshinda chaguzi/waliotangazwa urais mwaka 2020
 
Imefika wakati mpk unajishtukia kusema mimi ni Mtanzania
 
Kivipi? Toa uthibitisho
 
Sasa mkuu mtu yupo busy na habari za Dayamond na mama ake anaweza kujitetea kweli.
 
Nyumbu naona mnaanza kutoka mapangoni[emoji38]
ni ujinga kama huijui dharau, we unataka usaidiwaje kwani na tayari hujijui,? ungekuwa unajitambua ingejuwa afadhari hata kufukirika
 
Mimi nipo nje saivi, naheshimika sana kwasababu ya Magufuli
 
Huyu Zinjanthropus anayeongoza nchi!! ni wa kudhauraliwa kila upande! Siye tuwe objective tu na tuargue kitaalamu tu hapa kama ni kulisagia mbali hili dubwana!! Tusikubali kufuata misingi ya kijima! Tuvae barakoa! tutembee na sanitizer"! tuepuke mikusanyiko isiyo na tija ikilazimika tuwe waangalifu. Huyu ni FISI anahangaika hana popote pa kutetea utopia wake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…