Huko nje Watanzania tunadhauraulika sana siku hizi

Nitajivunia utanzania wangu na siyo kiongozi jizi mwenye tabia za kizinjanthropus!
 
Kwa sasa naona aibu kujiita mtanzania.
 
Kunbe huwa unaenda nchi za watu kutafuta SIFA?

Je ukishasifiwa inakusaidiaje kama MSIFIWA!
 
Kunbe huwa unaenda nchi za watu kutafuta SIFA?

Je ukishasifiwa inakusaidiaje kama MSIFIWA!
Sikiliza mtazamo mbaya juu ya mtu yaweza kuwa sababu ya kubaguliwa na kuchukiwa.
 
Kwaiy umeamua nin kuepuka na aibu iyoo kama hujaamua chochote bhas nawew pia ni aibu tuu
 
Sio msafiri nje ya mipaka yetu lakin nina was was hiki unachokisema ni speculations zako tu binafsi
 
Mi najigamba Kama mzanzibar na sio mtanzania [emoji2]
 
Mimi nipo nje saivi, naheshimika sana kwasababu ya Magufuli
Labda kama upo Burundi.

Nilikuwa Australia, mmoja wa wakurugenzi wa ASX alipojua mimi ni Mtanzania, aliniambia, 'I heard your President is another Mugabe!'
 
Pole . Inaonekana hujawahi toka nje ya Tanzania! This is what I can say!
 
I will always proud to be Tanzanian ,no matter what..hata wabinuke ...huku ninaimba Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyoo woteee nchi yangu Tz jina lako ni tamu sana ,......... Sio kowidi wala chochote kita ifanya nikukane. Period .
 
Tofauti ya Story ya Kinjikitile ngwale na Namna ambavyo jiwe analichukulia suala la Corona ni miakaa tu yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Una maananisha nyumbu wa pale ufipa?
Kiukweli Sasa nyumbu ni upande CCM maana Kila wanakopelekwa wote ndio hakuna hata kukooa.hata la jambo la kawaida, hakuna korona msivae barakoa wote ndio kesho sijakataza barakoa Ila za vitenge tena wote ndio. hata haileweki mnaelewa Nini
 
Akili ndogo sana wewe.
Elewa hivyo tu.
 
Sasa hivi tumekuwa nchi kituko. Hata Wamalawi na Wakomoro hapa jirani wanatuona ni kama ma-Zinjanthropus fulani hivi. Ni nyakati mbaya sana hizi za kutambulika kama raia wa Tanzania. Haijawahi tokea!
Nashukuru sana umekuwa 'specific' na kutaja baadhi ya (aina) ya nchi zinazotudharau.

NA BADO. Mtaanza kuona hata aibu kujitambulisha unatoka nchi hiyo.
 
Kujamba ajambe Jiwe, dharau nipewe mimi?

Hapo na mimi nitamdharau anayenidharau.
Si Jiwe anajamba kwa niaba yako?

Akijamba Jiwe, ni Tanzania nzima wamejamba, ndiyo mambo yanavyokwenda hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…