Huko serikalini Kuna nini, ni fedheha mwalimu kusikia mtoto uliyemfundisha anakwiba Mali za umma!!

Mwalimu Athumani , pita utie neno tafadhali.
 
Je wale viongozi waliokula viapo wameshika vitabu vitakatifu, viongozi wao wa dini wanajisikiaje? Wanadanganya wananchi Kila siku na kwenye nyumba za ibada wako siti za mbele kabisa
 
Hao wana dead conscious!!
 
Nape anaona ni ujanja kuiba kura,

Na jumapili huenda kuabudu,sijui anaabudu nini!!

Mwalimu aliyemfundisha Sunday schools anafedheheka sana nadhani.
 
Back
Top Bottom