Je wale viongozi waliokula viapo wameshika vitabu vitakatifu, viongozi wao wa dini wanajisikiaje? Wanadanganya wananchi Kila siku na kwenye nyumba za ibada wako siti za mbele kabisa