Huko Spain watu 738 wameaga dunia kwa masaa ishirini na minne. Wakenya na Watanzania tuwe makini ili majanga haya yasitupate

Pitia hapo kwa mama ngina kula ugali na samaki shushia na chang'aa korona waachie ngozi nyeupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri umewacha majivuno. Hili dude linapita na kila mtu. Majivuno tuweke kando tukubali kuwa kila nchi litaathirika
Majivuno kwa nani sasa???!!!..hivi unajielewa kweli wewe???.. Magufuli alikuwa akiongea na wananchi wake,nyie wakenya mkaanza kumshobokea....sisi tumesema hatufungii mtu ndani wala hatufungi mipaka,kwa sababu tunajua haina maana,kuna mataifa makubwa yalifungia watu ndani na bado mdudu akafanya maajab,sisi tufunge ili iweje???!
Kama nyie mmefungiwa ndani,kimpango wenu,sisi huku kazi tu mwanzo mwisho
 
Haya wakenya,rais wa Marekani be.Donald trump ameamua kuunga juhudi za bw. Pombe...hakuna kuogopa corona watu wanataka waendelee kupiga kazi kama kawa.....keep it up Magufuli,we got your ways
 

Attachments

  • 2349138_Screenshot_20200326-110352.png
    35.1 KB · Views: 1
sawa Mr English! andika makala utuhakikishie ujuzi wako wa Kiingereza!
Anyway wewe jua tu kuwa Wakenya wengi waliomaliza chuo kikuu wanakiandika na kukizungumza kiingereza bila bugdha. Hata waliomaliza kidato cha nne wanawashinda wabongo waliomaliza chuo kikuu.
 
Cha kufanya ni kumrudia Mungu...
Watu waache usodoma na ugomora
Ni jambo gani serikali zetu zinaweza kufanya ili kuzuia mamia ya watu kufa kila siku kwa ajili ya Corona? Jana Italy watu 743 walikufa kwa masaa 24. Leo spain watu 738 wameaga kwa masaa 24. Tutafanya nini ili kuzuia haya majanga kufika kwetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway wewe jua tu kuwa Wakenya wengi waliomaliza chuo kikuu wanakiandika na kukizungumza kiingereza bila bugdha. Hata waliomaliza kidato cha nne wanawashinda wabongo waliomaliza chuo kikuu.
unaumwa mavi wewe!
 
Wewe akili hauna kama provu hakuna kuwa wazungu wameleta ukimwi mbona wanatunga Sera zenye kukusudia kuulinda ukimwi ili uendelee kuua watu tazama kuusu covid unapimwa utake usitake na unawekwa kalantini utake usitake juhudi zinazo tumika kuzuia covid zingetumika kuzuia HIV Leo isingekuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Majority wakiridhia hiyo ndiyo demokrasia yenyewe. What else.
Wewe kumbe huwa ni mjinga namna hii? Ati jiwe atawale milele. Hapa Afrika hatutaki marais wanaotawala milele. Kwani yeye tu ndio mwanaume kamili na wengine ni wanawake? Hatutaki mambo ya marais wa Afrika kutawala zaidi ya mihula miwili. Umesikia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utasubiri sana mzee, Wachache tunaujua huu mchezo vema, nyie mnacheza tu blindly.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nimemwambia huyo jamaa Magufuli hajapanic sababu anaujua huu mchezo vizuri sana, hii kitu ishaingia Kitambo na tumeshapima Madhara yake, hiyo ndiyo tofauti ya Tz na Kenya wazee wa kupanic, mihemko na kukurupuka, Unafikiri Rais wa Tz ni Mjinga kias awaambie Watz waendelee kuchapa kazi huku wakichukua Tahadhari, Uhuru kenyatta kwa Kukurupuka anafungia watu ndani wakati 90% ya waafrica wanaishi kama ndege, yaani anaenda kutafuta huko anarudi na chochote familia yake ile, Working from home kwa Africa haipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…