Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
sawa Mr English! andika makala utuhakikishie ujuzi wako wa Kiingereza!Proficiency inapimwa vipi kama sio kwa kusoma comments za mtu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa Mr English! andika makala utuhakikishie ujuzi wako wa Kiingereza!Proficiency inapimwa vipi kama sio kwa kusoma comments za mtu?
Pitia hapo kwa mama ngina kula ugali na samaki shushia na chang'aa korona waachie ngozi nyeupeSisi wenyewe tumejiandaa kivipi kabla kusubiri serikali, nimepiga raundi mtaa kucheck watu walivyojipanga, hali ni kawaida tu watu hawaogopi kukusanyika makundi, subiri tuanguke wachache ndio tutatia akili na kuelewa hiki kitu hakina mzaha.
Mpaka sasa Waafrika hatujafa, hivyo tunasubiri kionyeshe meno na makucha ya kweli kwenye hili bara ndio tutakielewa.
Hehehe!! Nachelea kusema kama rais wa Tanzania, tusitishane, hiki kitu hakina uhatari mkubwa kwa sisi ngozi nyeusi, maana wote walioathirika hadi sasa hakuna aliyekata roho, labda wachache waliokua na mazagazaga yao ya awali, ila omundu strong aliyekula ugali wa Kiafrika bado anapeta tu.
Tusitishane[emoji3]Hii ni latest news. Hata haijakaa dakika ishirini kabla sijawaletea. Hii ni habari fresh hata haijafika CNN bado. Mimi nimeitoa kwa ministry of health ya Spain direct. Sijaribiwi mimi.
Majivuno kwa nani sasa???!!!..hivi unajielewa kweli wewe???.. Magufuli alikuwa akiongea na wananchi wake,nyie wakenya mkaanza kumshobokea....sisi tumesema hatufungii mtu ndani wala hatufungi mipaka,kwa sababu tunajua haina maana,kuna mataifa makubwa yalifungia watu ndani na bado mdudu akafanya maajab,sisi tufunge ili iweje???!Ni vizuri umewacha majivuno. Hili dude linapita na kila mtu. Majivuno tuweke kando tukubali kuwa kila nchi litaathirika
Anyway wewe jua tu kuwa Wakenya wengi waliomaliza chuo kikuu wanakiandika na kukizungumza kiingereza bila bugdha. Hata waliomaliza kidato cha nne wanawashinda wabongo waliomaliza chuo kikuu.sawa Mr English! andika makala utuhakikishie ujuzi wako wa Kiingereza!
Ni jambo gani serikali zetu zinaweza kufanya ili kuzuia mamia ya watu kufa kila siku kwa ajili ya Corona? Jana Italy watu 743 walikufa kwa masaa 24. Leo spain watu 738 wameaga kwa masaa 24. Tutafanya nini ili kuzuia haya majanga kufika kwetu?
unaumwa mavi wewe!Anyway wewe jua tu kuwa Wakenya wengi waliomaliza chuo kikuu wanakiandika na kukizungumza kiingereza bila bugdha. Hata waliomaliza kidato cha nne wanawashinda wabongo waliomaliza chuo kikuu.
Unapajua Geza Ulole ?sawa Mr English! andika makala utuhakikishie ujuzi wako wa Kiingereza!
Wewe mkenya kubugi means kuingia chaka.Kubugi ndio kufanya nini?
Wewe akili hauna kama provu hakuna kuwa wazungu wameleta ukimwi mbona wanatunga Sera zenye kukusudia kuulinda ukimwi ili uendelee kuua watu tazama kuusu covid unapimwa utake usitake na unawekwa kalantini utake usitake juhudi zinazo tumika kuzuia covid zingetumika kuzuia HIV Leo isingekuwepoUnatumia simu aliyogundua mzungu lakini unajifanya unajua sana kubeza. Kila kitu kina faida na hasara! Hata kama Ukimwi wameleta wazungu, which is not proven, sawasawa na virusi hivi kuletwa na China au Marekani, bado tunaambukizana sisi wenyewe tena kwa umakusudi. Nimewahi kuambiwa kabisa kuwa kuna mzee kijiji fulani anahonga vibinti kulala navyo kavukavu huku ana Ukimwi, wengine wanasema kabisa mimi siwezi kufa pekeyangu, sasa ni wazungu hao?
Kuna mambo mengi mazuri NGO zinafafhiriwa na wazungu zinafanya. Kuna miradi mingi ya kusaidia yatima, kujenga miradi ya maji, madarasa nk na ni vitu ambavyo serikali zimeshindwa na wazungu wanasaidia. Kuna negatives sikatai lakini there are good white men who are more than friends and love us than our own people and leaders. Grow up and see poaitivity in things!
Vipi wamebaki wazungu wangapi wa kusafisha mafii huko ulaya na mm nakaka kuja kufafisha kinyesi nipe mchongo bongo michosho na Pesa yetu ya madafuUpo very mature.
Acha nikupe likeMkuu, soma vizuri huo uandishi, kuanzia Vocabulary, ni wazi ni Mbongo kaandika, siasa zetu ni za Hovyo sana, acha Jiwe atawale tu Maisha. Tuna wendawazimu Kibao wanataka uongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kumbe huwa ni mjinga namna hii? Ati jiwe atawale milele. Hapa Afrika hatutaki marais wanaotawala milele. Kwani yeye tu ndio mwanaume kamili na wengine ni wanawake? Hatutaki mambo ya marais wa Afrika kutawala zaidi ya mihula miwili. Umesikia?
Nyie tulieni bado Corona haijaanza kufanya mazagazaga hapo Tanzania. Kwa hivyo usijisifu na kujipiga kifua bure. Tulia muda wenu unakuja. Ukiona mwenzako ananyolewa chako kitie maji. Wewe badala ya kuanza matayarisho ya kupambana na Corona, unaanza majivuno eti nyie hamutaathirika na corona. Wacha tuone kama baada ya miezi sita bado utakuwa na majivuno ama utakuwa umekalishwa chini na Corona ukipiga mayowe.
Kuchelewa kuchukua tahadhari ndio imeponza mataifa yote, kuanzia Uchina ilikoanzia mpaka kwenye mataifa ambayo yameanza kuipata. Hiki kitu kinasambaa kwa kasi, kuna wengi wanaumwa ndani kwa ndani na kusambaza bila kujitokeza, wewe jiulize hapo kwenu ambapo Makonda alishukuru Mungu kisa mwanaye Mbowe amepata kirusi, huyo mtoto inasemekana hakutoka nje ya nchi, kaambukizwa na mtu sehemu huko huko ndani, naye kabla kugunduliwa lazima aliambukiza, hivyo mtandao wote unaenea kimya kimya, bila ya kuchukua tahadhari mnaweza mkashtukizwa na jitu lizilo na kichwa wala mkia.
Sisi watanzania Ni mapumbavu tumeendekeza siasa , wakenya Nyie jikingeni sisi tumeambiwa tukasali kumuomba mungu
Sent using Jamii Forums mobile app