Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Maziwa fresh au mgando?Muda huu nipo Mwanza nyamagana, huku bei ni elfu 2 kwa lita... Je wewe uko ulipo lita ni bei gani. Sio mbaya kama ukiwa mahususi kwa kutaja mkoa, wilaya hata kata kama ikiwezekana.
Asante
Freshmaziwa fresh au mgando?
Mpaka mtu anywe sumu, 😂🤣😂Huku mkoa wa Lindi tangu nije sijaona ngombe kunywa maziwa moaka unywe sumu
2,000/= hadi 2,500/=Fresh
1000-1 litreFresh
Hii location wapi?1000-1 litre
Hii location wapi?2000 mkuu
MbeyaHii location wapi?
Hii location wapi?2,000/= hadi 2,500/=
Mbeyani sawa sawambeya
Umepigwa hayo Maziwa ya Mwanza huwa wanachanganya Naya Fisi😄Muda huu nipo Mwanza nyamagana, huku bei ni elfu 2 kwa lita maziwa fresh ... Je wewe uko ulipo lita ni bei gani. Sio mbaya kama ukiwa mahususi kwa kutaja mkoa, wilaya hata kata kama ikiwezekana.
Asante
Mpaka mtu awe njia moja kwa saa godi ndio maziwa yanaitishwa😂😂Huku mkoa wa Lindi tangu nije sijaona ngombe kunywa maziwa moaka unywe sumu
DaslamaHii location wapi?
Hii location wapi?2400
Nanunua kwa Mula hatii maji hata!