Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

Umenikumbusha niliwahi ngombana na muuza maziwa ngumi sio ngumi asee.

Wife anachuja maziwa amchemshie mtoto anaona guliguli (wadudu wa kwenye maji sijui jina lao kiswazi) nikamwambia yatunze Hadi kesho ayakute tumuonyeshe.kabla hata hajafika yameanza toa harufu Kali alipofika nilimuuliza umetunywesha maziwa ya maji ya bwawani mara ngapi ? Akaanza kujiuma uma nikampa Kofi akarudisha nae halafu mbele ya wife. Daah ila alinyooka akakimbia Hadi baiskeli yake
Hehehe alitia maji ya mtoni😢
 
2000 dar
800 morogoro Kijiji kinaitwa magogoni hayajachanganywa na chochote
 
Back
Top Bottom