Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

Mia 500
FB_IMG_1718819330864.jpg
 
Umenikumbusha niliwahi ngombana na muuza maziwa ngumi sio ngumi asee.

Wife anachuja maziwa amchemshie mtoto anaona guliguli (wadudu wa kwenye maji sijui jina lao kiswazi) nikamwambia yatunze Hadi kesho ayakute tumuonyeshe.kabla hata hajafika yameanza toa harufu Kali alipofika nilimuuliza umetunywesha maziwa ya maji ya bwawani mara ngapi ? Akaanza kujiuma uma nikampa Kofi akarudisha nae halafu mbele ya wife. Daah ila alinyooka akakimbia Hadi baiskeli yake
 
Wakuu Mnaopatikana katk Nchi ya Asali na Maziwa Mko wap?
 
Back
Top Bottom