Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

Lita 300 asbuhi jioni unafata nusu lita bure maana jioni hawauzi maziwa usiniulize location tafadhali
 
Fresh 2400 Kimara.. Hapo Maji 1/4 maziwa 3/4.
Mzee weekend ukiwa na muda uwe unaenda Pale Kiluvya Madukani kuna duka la chama cha wafugaji. Maziwa fresh lita ni tsh 1600 na maziwa mtindi lita ni tsh 2000. Gallons wanauza pale nje ya lita 3 ni 1200, na lita 5 ni 1500.

Hao wauzaji wote wa mjini wanafata pale na kuchakachua wasio waaminifu
 
Picha linaanza Ng'ombe alinyweshwa maji mengi, Aliyekamua akaweka maji, Msambazaji akaweka maji,Yakafika dukani kwa mangi naye akaweka maji, Ukaja kununua kwa mangi, kwavile na wewe una familia kubwa ukaweka maji... Sasa mkuu hapo kuna maziwa tena 🤔

Note:
Bora kufuga mwenyewe
 
Back
Top Bottom