Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

Tangu nijitambue huwa najua maziwa ni shilingi 2,000 kwa lita moja,sijawahi kuona inazidi ama kupungua kwa hapa nilipo Dar
 
Umenikumbusha niliwahi ngombana na muuza maziwa ngumi sio ngumi asee.

Wife anachuja maziwa amchemshie mtoto anaona guliguli (wadudu wa kwenye maji sijui jina lao kiswazi) nikamwambia yatunze Hadi kesho ayakute tumuonyeshe.kabla hata hajafika yameanza toa harufu Kali alipofika nilimuuliza umetunywesha maziwa ya maji ya bwawani mara ngapi ? Akaanza kujiuma uma nikampa Kofi akarudisha nae halafu mbele ya wife. Daah ila alinyooka akakimbia Hadi baiskeli yake
 
Wakuu Mnaopatikana katk Nchi ya Asali na Maziwa Mko wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…