Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema
“ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima yakomeshwe.” Mwingine alipohojiwa hapo amekuja kufanya nini alisema maisha ni magumu kwenye mashambulio kama hayo watu hujitokeza kwenda kuokoa chochote ili kiwasaidie Katika maisha yao” hii inaonyesha wazi kuwa huko Yemen maisha ni magumu sana na kipigo hiki cha majeshi ya Marekani kimewaongezea ugumu wa maisha. Ukija huku mitandaoni sasa akina Ritz na wapambe wao wanawalamba mpaka miguu wa Yemen kumbe wao huko hata tu chakula cha shida!!!