DOKEZO Huku Chunya kuna Wamalawi wengi wanaoishi kinyume cha Sheria

DOKEZO Huku Chunya kuna Wamalawi wengi wanaoishi kinyume cha Sheria

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini.

Shida iliyopo Wamalawi wanatubagua sisi na kutuita kuwa tuna roho mbaya, naomba unisaidie hili neno limenitesa sana na mbaya zaidi hawana uhalili wa kuishi hapa nchini.

Hatuwabagui hatuwatengi lakini vijana ninaofanya nao kazi ndio wamekuwa wa kwanza kutubagua sisi.
 
acha unoko wewe tafuta hela uache kuwa mchawi
 
Kwani wameharibu cha mtu?

Baba wa taifa angekuwapo ....

Mwenye inchi yake ..

Hawaendani na matakwa ya hapo ulipo Mkuu kiongozi???
 
Na kweli una roho mbaya.

Mtoto wa kiume kuwa mmbea hata haipendezi, sasa wewe endelea na unoko km hujafukiwa na kifusi. Unawajua wamalawi vizuri??
 
Back
Top Bottom