Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hitimana anachukua nafasi ya matola wakati matola anamalizia kupata grade B yake ili afiti kuwa kocha msaidizi kwenye michiuano ya CAFSikia da rosa hajamaliza kusoma ila anaendelea kusoma ndio maana simba wameamua kumchukya kocha wa mtibwa hitimana kwa muda,na kwa sasa hitimana kishaonfoka mtibwa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mtakufa bure kwa pressure bila sababu ya maana..Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Msukule Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake.
Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana hata details zozote za uhakika Msukule Haji Manara umejikuta ukiumbuliwa kutokana na Sakata la Kocha Gomez wa Simba SC na safari hi tena na mwana Yanga SC Mwenzake Mtangazaji Maulid Kitenge.
Msukule ( Haji Manara ) ukiendelea Kuikashifu Simba SC na Kocha Gomez kuhusiana na Sakata zima hatimaye Mtangazaji mwana Yanga SC Maulid Kitenge akizungumza katika EFM Sports Headquarters Program amesema kuwa Kocha Gomez ameshamaliza Kusoma hiyo Kozi inayotakuwa kupitia Online na kinachosubiriwa tu sasa ni kwa CAF Kuithibitisha rasmi na kumpa Leseni yake muda wowote kuanzia sasa.
Wasafi FM hasa kupitia Watangazaji wana Yanga SC lia lia Yusuph Mkule na Paul Mkai na Mchambuzi Mnafiki na mwana Yanga SC Edward ( Edo ) Kumwembe hongereni kwa leo Kumfurahia Msukule Haji Manara akiwa anaichafua na Kuidhalilisha Simba SC huku nyie mkiwa mnafurahia na mkimchajisha ( mkimjaza upepo ) mkidhani ndiyo yatakuwa mafanikio ya Yanga SC.
anamke?Haji wa Simba na HAJI WA YANGA NI WATU WAWILI TOFAUTI
Wa sasa ni mnaafiki hakuna anachokera zaidi ya kujidhalilisha sana...!!
Mkewe atumie uanamke wake kumstopisha hata km njaaa amuambie apunguze ujinga yaani namuona km kavurugwa vile!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
unawahi wapiwasomaji