Huku Haji Manara ukiendelea Kubwabwaja Wasafi FM kuhusu Sakata la Kocha Gomez, hatimaye mwana Yanga Maulid Kitenge amemgeuka




Ukiangalia taarifa za Coach wa Simba utagundua amefundisha vilabu vingi tangu aje Africa mwaka 2012 akiwa na miaka 42. Kuna uwezekano kwamba mafanikio kwenye vilabu mbalimbali alivyofundisha vilimfanya asahau kujiendeleza.
 
Manara ni Chawa hatari sana,Simba walifanya vyema kumtimua .

Hii ni Dhambi ya usaliti inamtesa.
 
Sikia da rosa hajamaliza kusoma ila anaendelea kusoma ndio maana simba wameamua kumchukya kocha wa mtibwa hitimana kwa muda,na kwa sasa hitimana kishaonfoka mtibwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hitimana anachukua nafasi ya matola wakati matola anamalizia kupata grade B yake ili afiti kuwa kocha msaidizi kwenye michiuano ya CAF
 
Ukweli ni kuwa mbaka sasa Simba hawana kocha mwenye vigezo vya kukaa kwenye bench wakati timuyake inacheza kulingana na taratibu mpya za CAF. Uo ndio ukweli mengine ni kujaribu kupindishapindisha.
 
Mtakufa bure kwa pressure bila sababu ya maana..

Kwanza timu zenyewe hizi moja inaitwa Mbumbumbu SC na nyingine inaitwa Vyura SC!
 
K
anamke?
 
huyu haji mwenyewe ana vyeti gani hivi anasahau alivyoanza kulialia wakati TFF wanataka kukazia vyeti vya wasomaji
 
mashudu matupu
Kocha wenu kaishia la saba muwahisheni shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…