Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo.
Miongoni mwa maeneo yaliyolazimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamoja kambi ya Jabalia ambayo hapo awali ilikwishavurugwa kwa makombora kutoka angani na mizinga mpaka IDF wakaridhika kwa kuona wameshawashinda Hama.
Upinzani kama huo umeonekana pia maeneo ya kati ya Gaza.