Hiyo haitawafanya wa Israel wasiende rafah.. rafah ilikua ni eneo pekee ambalo makombora hayakurushwa sasa inaenda kuwa maghofu.Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo.
Miongoni mwa maeneo yaliyolazimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamoja kambi ya Jabalia ambayo hapo awali ilikwishavurugwa kwa makombora kutoka angani na mizinga mpaka IDF wakaridhika kwa kuona wameshawashinda Hama.
Upinzani kama huo umeonekana pia maeneo ya kati ya Gaza.
As Israel pushes deeper into Rafah, Hamas regroups elsewhere in ungoverned Gaza
Mara nyingi shambulizi la anga linalenga kuharibu miundo mbinu ya kambi pinzani.Naomba kuuliza;
•Inaposemwa mapigano makali yametokea kati ya Askari wa Israel na Hamasi, je, huwa ni mapigano ya uso kwa uso au Israel anakuwa anatumia ndege huku Hamas anatumia bunduki za mkononi?
•Israel anaposhambulia kutokea angani huwa anawashambulia wapiganaji wa Hamas kweli, mbona hawaishi?
•Au wapalestina wote vijana na wanaume ni Hamas?
Yote kwa yote, Hamas wamedumu katika vita hii, siki zinazidi kusonga.
Rafah inaenda kugeuzwa jangwaKwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo.
Miongoni mwa maeneo yaliyolazimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamoja kambi ya Jabalia ambayo hapo awali ilikwishavurugwa kwa makombora kutoka angani na mizinga mpaka IDF wakaridhika kwa kuona wameshawashinda Hama.
Upinzani kama huo umeonekana pia maeneo ya kati ya Gaza.
As Israel pushes deeper into Rafah, Hamas regroups elsewhere in ungoverned Gaza
Vita vipi vya ana kwa ana hamas wanaviweza zaidi yakupigana wamevaa nguo za kiraia na kuvizia hii inasababisha vifo vya raia wa gazaMara nyingi shambulizi la anga linalenga kuharibu miundo mbinu ya kambi pinzani.
Shida Hamas, wanaishi kwenye mahandaki hivyo hawaathiriki na hayo mashambulio ya anga.
Ndipo inawaladhimu IDF kuingia front ardhini hapo ndipo wanapo chinjwa na Hamas bila huruma.
Kiukweli tukiingia vita vya ana kwa ana. Hao IDF hawana lolote. Ogopa sana vita vya ana kwa ana na mtu ambae hana la kupoteza [emoji16]
Huyo Hamas anapigana kwa kasi hiyo huku hana silaha za kutosha na amekatiwa chakula.Mara nyingi shambulizi la anga linalenga kuharibu miundo mbinu ya kambi pinzani.
Shida Hamas, wanaishi kwenye mahandaki hivyo hawaathiriki na hayo mashambulio ya anga.
Ndipo inawaladhimu IDF kuingia front ardhini hapo ndipo wanapo chinjwa na Hamas bila huruma.
Kiukweli tukiingia vita vya ana kwa ana. Hao IDF hawana lolote. Ogopa sana vita vya ana kwa ana na mtu ambae hana la kupoteza [emoji16]
acha kuangalia muvi zitakuharibu aseeNaomba kuuliza;
•Inaposemwa mapigano makali yametokea kati ya Askari wa Israel na Hamasi, je, huwa ni mapigano ya uso kwa uso au Israel anakuwa anatumia ndege huku Hamas anatumia bunduki za mkononi?
•Israel anaposhambulia kutokea angani huwa anawashambulia wapiganaji wa Hamas kweli, mbona hawaishi?
•Au wapalestina wote vijana na wanaume ni Hamas?
Yote kwa yote, Hamas wamedumu katika vita hii, siki zinazidi kusonga.
kwann walikimbia kule Israel ile trh 7 oct si wanajua vita vya ana kwa ana ?Mara nyingi shambulizi la anga linalenga kuharibu miundo mbinu ya kambi pinzani.
Shida Hamas, wanaishi kwenye mahandaki hivyo hawaathiriki na hayo mashambulio ya anga.
Ndipo inawaladhimu IDF kuingia front ardhini hapo ndipo wanapo chinjwa na Hamas bila huruma.
Kiukweli tukiingia vita vya ana kwa ana. Hao IDF hawana lolote. Ogopa sana vita vya ana kwa ana na mtu ambae hana la kupoteza [emoji16]
US si kam supply Israel BLU-109B Bunker Busters kwa ajili ya kuvunja haya mahandaki wanashindwa vp kuwachomoa humo Hamas?Shida Hamas, wanaishi kwenye mahandaki hivyo hawaathiriki na hayo mashambulio ya anga.
Tatizo hamfahamu mji wa Rafah ni matent tu na vibanda vya wakimbizi Israel hajui anacho fanya Gaza.Rafah inaenda kugeuzwa jangwa
Nyuma ya Hamas wako wanaume wanaomshughulikia Israel na jeshi lake dhaifu la IDF, hapo hakuna tena vita vya panda na manati mzigo wenyewe hasa unapigwaNaomba kuuliza;
•Inaposemwa mapigano makali yametokea kati ya Askari wa Israel na Hamasi, je, huwa ni mapigano ya uso kwa uso au Israel anakuwa anatumia ndege huku Hamas anatumia bunduki za mkononi?
•Israel anaposhambulia kutokea angani huwa anawashambulia wapiganaji wa Hamas kweli, mbona hawaishi?
•Au wapalestina wote vijana na wanaume ni Hamas?
Yote kwa yote, Hamas wamedumu katika vita hii, siki zinazidi kusonga.
Na ndio maana mrusi anawaweza NATO kwakuwa anamiliki anga akishawachakaza anapeleka Mandevu wa Kichechen wanapiga njugu balaa 😂Mara nyingi shambulizi la anga linalenga kuharibu miundo mbinu ya kambi pinzani.
Shida Hamas, wanaishi kwenye mahandaki hivyo hawaathiriki na hayo mashambulio ya anga.
Ndipo inawaladhimu IDF kuingia front ardhini hapo ndipo wanapo chinjwa na Hamas bila huruma.
Kiukweli tukiingia vita vya ana kwa ana. Hao IDF hawana lolote. Ogopa sana vita vya ana kwa ana na mtu ambae hana la kupoteza [emoji16]
Umefurahi eeeeeeeeh?Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo.
Miongoni mwa maeneo yaliyolazimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamoja kambi ya Jabalia ambayo hapo awali ilikwishavurugwa kwa makombora kutoka angani na mizinga mpaka IDF wakaridhika kwa kuona wameshawashinda Hama.
Upinzani kama huo umeonekana pia maeneo ya kati ya Gaza.
As Israel pushes deeper into Rafah, Hamas regroups elsewhere in ungoverned Gaza
.Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo.