Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

Ameanza na Mishahara ya majeshi ya ulinzi, amepunguza PAYE. Soon atamwaga ajira za walimu zaidi 20,000.Wananchi wa Malawi ya kaskazini nirahisi kuwadanganya.
 
Simu hazikauki kwa kiranja mkuu wa tai, ila kahikikishiwa goli la ushindi katika kisiwa cha walima karafuu kidogo hofu imepungua kwake kule kisiwani kunampa hofu kuu.

Sijakuelewa kabisa hapa Mkuu kwani nchini Kwetu 'Malawi ya Kaskazini' hatupakani na 'Kisiwa' chochote kile japo najua kuna Kisiwa cha Zanzibar.
 
Siku hizi unafukunyua mambo!! Au una ukoo na Tai Eagle? Hii habari ni ya kweli.

Popote pale ulipo Mkuu basi jua upo nae GENTAMYCINE na hakuna 'Tunu' Kuu 'niliyobarikiwa' nayo na Mungu kama 'Kujichanganya' mno na Wana.
 
Sijakuelewa kabisa hapa Mkuu kwani nchini Kwetu 'Malawi ya Kaskazini' hatupakani na 'Kisiwa' chochote kile japo najua kuna Kisiwa cha Zanzibar.
Mzee mwenzangu baadae jioni karibu kijiweni kwetu tupate kahawa moto huku tukihabarishana masuala mbalimbali yanayohusu taifa letu hili la Malawi ya Kaskazini.
 
Mzee mwenzangu baadae jioni karibu kijiweni kwetu tupate kahawa moto huku tukihabarishana masuala mbalimbali yanayohusu taifa letu hili la Malawi ya Kaskazini.

Leo kati ya Saa 12 Kamili Jioni hadi Saa 3 Kamili Usiku nitakuwa katika Kanisa Moja hivi la Mchungaji na Mtumu 'Maarufu' hapa 'Malawi ya Kaskazini' eneo la 'Njia ya Ng'ombe' nikitega zangu 'Mingo' za 'Kuwatongozea' Waumini wake ambao ni wepesi hakuna mfano, hawajui Kukataa, wana Upendo wa dhati na Wivu kweli kweli. Kutongoza 'Walokole' raha sana Mkuu!
 
Sijawahi kuwa na 'Sponsor' aliye 'Popoma' wa 'Kutukuka' wa mfano wake Mkuu. Kama IQ yangu ni Juu naweza kuwa na 'Sponsor' Juha kama huyo?
Ila jamaa ana mkwara kweli, hajui humu ndani kuna watu wanakunywa mvinyo na JPM na wametulia tu. Atambue kuwa sio kila neno linalosemwa kwa boss wake basi alitilie maanani vitu vingine anasoma anaviacha kama vilivyo na sio kujibu kwa ghadhabu anajishushia heshima na pengine huwenda tukahisi watendaji wote wa Mh. ni vichaa.
 
Nimekuelewa mkuu kumbe Kuna wakati uoga Ni mzuri

Ili ujue kuwa 'Uoga' unalipa hebu libadili hili Jina lako la ID hapa na utuwekee lile lako kabisa la NIDA ya 'Malawi ya Kaskazini' tuone Ushujaa wako.
 
Ila jamaa ana mkwara kweli, hajui humu ndani kuna watu wanakunywa mvinyo na JPM na wametulia tu. Atambue kuwa sio kila neno linalosemwa kwa boss wake basi alitilie maanani vitu vingine anasoma anaviacha kama vilivyo na sio kujibu kwa ghadhabu anajishushia heshima na pengine huwenda tukahisi watendaji wote wa Mh. ni vichaa.

Kunywa nae tu Mvinyo hakutoshi Mkuu bali ajue kuwa pamoja na Yeye kujifanya anamkubali mno ila kuna wengine hapo Ikulu ni Nyumbani Kwetu.
 
Back
Top Bottom