GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Ndiyo mkuu wangu!Baba mwenye nyumba alieyumba anafikiri mwarubaini ni kujipendekeza kwa wanajeshi!
Haya sasa huu ndio wakati wa kununua harrier nyie ma private wa MPD .Fumbo nifumbue.
Drones anaruhusiwa tbs mtimuliwa peke yake mwaka huu hakuna kuona nyomi.!
!
Anhaaaaa.......Kumbe ndio maana wamenza na drones aisee dah hawa jamaa bwana
Simu hazikauki kwa kiranja mkuu wa tai, ila kahikikishiwa goli la ushindi katika kisiwa cha walima karafuu kidogo hofu imepungua kwake kule kisiwani kunampa hofu kuu.
Siku hizi unafukunyua mambo!! Au una ukoo na Tai Eagle? Hii habari ni ya kweli.
Mzee mwenzangu baadae jioni karibu kijiweni kwetu tupate kahawa moto huku tukihabarishana masuala mbalimbali yanayohusu taifa letu hili la Malawi ya Kaskazini.Sijakuelewa kabisa hapa Mkuu kwani nchini Kwetu 'Malawi ya Kaskazini' hatupakani na 'Kisiwa' chochote kile japo najua kuna Kisiwa cha Zanzibar.
Mzee mwenzangu baadae jioni karibu kijiweni kwetu tupate kahawa moto huku tukihabarishana masuala mbalimbali yanayohusu taifa letu hili la Malawi ya Kaskazini.
Unamtusi sponser wako πππYou're a Stupid 'Member' forever.
Imekuwasha pahali fulani
Unamtusi sponser wako πππ
Ila jamaa ana mkwara kweli, hajui humu ndani kuna watu wanakunywa mvinyo na JPM na wametulia tu. Atambue kuwa sio kila neno linalosemwa kwa boss wake basi alitilie maanani vitu vingine anasoma anaviacha kama vilivyo na sio kujibu kwa ghadhabu anajishushia heshima na pengine huwenda tukahisi watendaji wote wa Mh. ni vichaa.Sijawahi kuwa na 'Sponsor' aliye 'Popoma' wa 'Kutukuka' wa mfano wake Mkuu. Kama IQ yangu ni Juu naweza kuwa na 'Sponsor' Juha kama huyo?
Nimekuelewa mkuu kumbe Kuna wakati uoga Ni mzuri
Ila jamaa ana mkwara kweli, hajui humu ndani kuna watu wanakunywa mvinyo na JPM na wametulia tu. Atambue kuwa sio kila neno linalosemwa kwa boss wake basi alitilie maanani vitu vingine anasoma anaviacha kama vilivyo na sio kujibu kwa ghadhabu anajishushia heshima na pengine huwenda tukahisi watendaji wote wa Mh. ni vichaa.