Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

Jamaa anajaribu kuweka mambo sawa ili aweze kutumia U-Amiri Jeshi wake vema hasa siku ile muhimu.
 
You ass ever! By the way I am wondering why I used my expensive time arquing with u ass??!!

Hiki 'Kiingereza' chako cha 'Kishoga / Utambaliziwaji' umakianza Kukitumia lini? Mkuu yaani na Wewe mara hii 'Masela' wanakupigia kwa Tigo Line?
 
Kunywa nae tu Mvinyo hakutoshi Mkuu bali ajue kuwa pamoja na Yeye kujifanya anamkubali mno ila kuna wengine hapo Ikulu ni Nyumbani Kwetu.
Kabisa atajifunza kujibu hoja za watu kwa nidhamu ili kuepuka kuleta mkanganyiko kwa mada husika. Amesahau watu wanashinda na boss wake muda wote na wapo kimya tu.
 
Kabisa atajifunza kujibu hoja za watu kwa nidhamu ili kuepuka kuleta mkanganyiko kwa mada husika. Amesahau watu wanashinda nae muda wote na wapo kimya tu.

'Mpumbavu' huyo achana nae Mkuu. Na namtaarifu hapa hapa 'Mubashara' kuwa Mtu wake huyo na Walinzi wake huwa wananisoma mno hapa JF.
 
Ili ujue kuwa 'Uoga' unalipa hebu libadili hili Jina lako la ID hapa na utuwekee lile lako kabisa la NIDA ya 'Malawi ya Kaskazini' tuone Ushujaa wako.
🀣🀣🀣🀣🀣Huoni unanitafutia nyongeza ya mshahara ifanye kazi kwa sifa na so weledi mkuu
 
Hasa kutokana na hizo 'Herufi' Nne ( 4 ) za hilo Jina lake ( ID yake ) Mkuu. Asikusumbue hao wanataka Kusikia mazuri Kwao, ila mabaya hawataki.
Nimegundua jamaa ni njaa kali pengi amesha lisahau jina la Bwana Mungu wake sasa ana mwabudu binaadamu mwenzake!
 
Huku huku malawi ya kaskazini mkuu πŸ˜€
Hakika huyu kiongozi anajua kula na watu wake wa karibu amesahau wapiga kura wake walio wengi wananung'unika kwa kupokea mshahara mdogo hili kundi la walimu na watumishi wa Tamiseni ndio ingeamua mstakabari wake ila ni wajinga sijawahi ona hawa ndio wa kwanza kumpigia kura πŸ˜‚
 
Kama kweli nawe upo hapa hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' nitajie Mikoa Miwili tu inayopatikana hizi Kambi 'Kubwa' za Renge Renge na Lindumo.
Nipwa, rogomoro na NgariI hiyo ndio mikoa inapatikana na kambi za Malawi kaskazini
 
Sijawahi kuwa na 'Sponsor' aliye 'Popoma' wa 'Kutukuka' wa mfano wake Mkuu. Kama IQ yangu ni Juu naweza kuwa na 'Sponsor' Juha kama huyo?
Anayekubishia hili ni wa kuhurumia, maana inaonekana wazi yeye anashinda mitandaoni kwa malipo kiduchu wakati wenzake wanongezwa Laki 1 kila Mjeda bila kujali cheo.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kenya ya kusini pia inajiandaa na uchaguzi
 

'Malawi ya Kaskazini' wamewaambieni kuwa wana 'Kitu' Kiitwacho sijui TAMISEMI?
 
Ila ccm akili huwa zinaruka mara nyingine, et lijitu linakwambia tumeibiwa sana wakati nyinyi wenyewe ccm ndiwo mlikuwa mnasaini mikataba na mibovu na wakoloni haohao, misaada hampati toka kwa hao wakoloni basi mnawaita mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…