Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ni wazi kabisa wakati wa utawala wa Hayati Nyerere watu walikuwa na maisha duni sana. Sehemu nyingi hazikuwa na barabara nzuri kama hii leo, sehemu nyingi hazikuwa na maji kama hii leo, hata hali ya watu kupata mavazi mazuri kama hii leo ilikuwa ni kazi ngumu.
Shule zilikuwa ni za umma, hospitali za Umma usafiri ukikuwa wa Umma. Kila mtanzania awe kiongozi ai mtu kawaisa alikuwa anajuika na watanzania wenzake kila mahala.
Tanzania ya leo hali sio hivyo. Kuna matabaka makubwa. Walicho nacho wanaishi kama wapo peponi