Huku kazi ikiwa inaendelea tukumbuke kuwa Mwl. Nyerere alijenga uzalendo na umoja wa hali ya juu, kwanini sasa haiwezekani?

Huku kazi ikiwa inaendelea tukumbuke kuwa Mwl. Nyerere alijenga uzalendo na umoja wa hali ya juu, kwanini sasa haiwezekani?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Ni wazi kabisa wakati wa utawala wa Hayati Nyerere watu walikuwa na maisha duni sana. Sehemu nyingi hazikuwa na barabara nzuri kama hii leo, sehemu nyingi hazikuwa na maji kama hii leo, hata hali ya watu kupata mavazi mazuri kama hii leo ilikuwa ni kazi ngumu.

Shule zilikuwa ni za umma, hospitali za Umma usafiri ukikuwa wa Umma. Kila mtanzania awe kiongozi ai mtu kawaisa alikuwa anajuika na watanzania wenzake kila mahala.

Tanzania ya leo hali sio hivyo. Kuna matabaka makubwa. Walicho nacho wanaishi kama wapo peponi
 
Back
Top Bottom