peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Makonda anasema tumchague yule bibi 2025-2030.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini umesema hivyo ndugu?kawaida sana
Hahahaha! duuh!Akingia ofisini saa mbili na nusu
Saa tatu kamili tu anaenda kunywa chai, supu anarudi saa tano kamili
Saa sita kamili ikifika anaenda lunch
Anarudi ofisini saa nane na nusu
Huko lunch ni kupiga stori,umbea tu
Akingia saa nane na nusu Ana zuga mpk tisa kamili anasepa nyumbani
Kuendelea na mizunguko yake
Ratiba hiyo ni ya wiki nzima
Alafu akirudi home anakuambia
Today I was very bizeee [emoji1]
Ova
Na ndio maana nasema kuna vitu hata havihitaji rasilimali fedha ili kufanyika...Jiulize kwanini watu wengine wanashindwa kufanya kama hao vijana..tena unaweza kuta wana mishahara mikubwa kuliko hao vijana waliokuhudumia...Mimi mwaka Jana mwishoni nilienda ofisi ya NHIF pale Posta wale vijana walinipa huduma nzuri hadi nikashangaa.
Kuna watu wanasema tangu tupate raisi mwanamke basi impunity kwa watumishi wa umma imekua sana, hawaogopi tena kuwajibishwaKichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Turuhusu bottom- top decision making. Watu wawe wabunifu kadri ya taaluma zao. Tabia ya mfumo wa ubosi ndo imesababisha watoa huduma kuwa waoga na kukaa as if someone is going to do the business on behalf.culture takes years and years to change.. #5 alijitahidi kubadilisha japo mwishoni underlings wake waliexcuse mateso eti wanawajibisha watu.. kiufupi, unless tupate kiongozi aliye strict but fair hamna kitakachobadilika
Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka awe sharp wakati watoto wake hawajaripoti skuli,hajui kesho watakula nini na bili ya maji ametumiwa kwenye simu?Jiongeze.Mpatie hela!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaa sanaAkingia ofisini saa mbili na nusu
Saa tatu kamili tu anaenda kunywa chai, supu anarudi saa tano kamili
Saa sita kamili ikifika anaenda lunch
Anarudi ofisini saa nane na nusu
Huko lunch ni kupiga stori,umbea tu
Akingia saa nane na nusu Ana zuga mpk tisa kamili anasepa nyumbani
Kuendelea na mizunguko yake
Ratiba hiyo ni ya wiki nzima
Alafu akirudi home anakuambia
Today I was very bizeee [emoji1]
Ova
Kuna thread kama hizi nyingi tu zilisababisha serikali ikatoa maamuzi na kuboresha vitu fulani.Sio rahisi kuleta mabadiliko kwenye mifumo kwa kutoa maoni au mijadala kwenye social media.
Wenye akili, wanatumia kila njia ikiwemo maandamano kama namna ya kuleta shinikizo la mabadiliko lakini wanaonekana hawana akili.
YAANI WASIO NA AKILI WANA WAONA WENYE AKILI HAWANAZO!
wamemaliza chuo hawana kazi, sio shida yao
gharama za maisha kupanda sio shida yao
huduma za kijamii za msingi ni za hovyo hovyo sio shida kwao,
Wao shida yao ni kwanini humpambi na kumtukuza mama, wao shida yao ni chadema!
Ongezea hapo juu ni matapeli na wezi
Halmashauri ya kinondoni Kuna dada Mmoja yeye ni story muda wote na client Yuko mbele yake Wala hajali.Akingia ofisini saa mbili na nusu
Saa tatu kamili tu anaenda kunywa chai, supu anarudi saa tano kamili
Saa sita kamili ikifika anaenda lunch
Anarudi ofisini saa nane na nusu
Huko lunch ni kupiga stori,umbea tu
Akingia saa nane na nusu Ana zuga mpk tisa kamili anasepa nyumbani
Kuendelea na mizunguko yake
Ratiba hiyo ni ya wiki nzima
Alafu akirudi home anakuambia
Today I was very bizeee [emoji1]
Ova
naamin alianza kaz akiwa hana familia kubwa au hana familia kabisa , kwann anakuja kuwa na familia kubwa kuliko kipato chake ? au anafanya kaz bure?Unataka awe sharp wakati watoto wake hawajaripoti skuli,hajui kesho watakula nini na bili ya maji ametumiwa kwenye simu?Jiongeze.Mpatie hela!
hahahaaaaaAkingia ofisini saa mbili na nusu
Saa tatu kamili tu anaenda kunywa chai, supu anarudi saa tano kamili
Saa sita kamili ikifika anaenda lunch
Anarudi ofisini saa nane na nusu
Huko lunch ni kupiga stori,umbea tu
Akingia saa nane na nusu Ana zuga mpk tisa kamili anasepa nyumbani
Kuendelea na mizunguko yake
Ratiba hiyo ni ya wiki nzima
Alafu akirudi home anakuambia
Today I was very bizeee [emoji1]
Ova
unaish china ?Wabongo kwa kulalamika! Huduma ipi mbovu ulipewa mkuu