Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

Akingia ofisini saa mbili na nusu
Saa tatu kamili tu anaenda kunywa chai, supu anarudi saa tano kamili
Saa sita kamili ikifika anaenda lunch
Anarudi ofisini saa nane na nusu
Huko lunch ni kupiga stori,umbea tu
Akingia saa nane na nusu Ana zuga mpk tisa kamili anasepa nyumbani
Kuendelea na mizunguko yake
Ratiba hiyo ni ya wiki nzima

Alafu akirudi home anakuambia
Today I was very bizeee [emoji1]

Ova
Hahahaha! duuh!
 
Mimi mwaka Jana mwishoni nilienda ofisi ya NHIF pale Posta wale vijana walinipa huduma nzuri hadi nikashangaa.
Na ndio maana nasema kuna vitu hata havihitaji rasilimali fedha ili kufanyika...Jiulize kwanini watu wengine wanashindwa kufanya kama hao vijana..tena unaweza kuta wana mishahara mikubwa kuliko hao vijana waliokuhudumia...

Hapo ndio napoona kuna kitu lazma kufanyika kwenye ofisi za serikali ili kila mtu ajitume kwa bidii kutekeleza majukumu yake.
 
Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Kuna watu wanasema tangu tupate raisi mwanamke basi impunity kwa watumishi wa umma imekua sana, hawaogopi tena kuwajibishwa
 
culture takes years and years to change.. #5 alijitahidi kubadilisha japo mwishoni underlings wake waliexcuse mateso eti wanawajibisha watu.. kiufupi, unless tupate kiongozi aliye strict but fair hamna kitakachobadilika
Turuhusu bottom- top decision making. Watu wawe wabunifu kadri ya taaluma zao. Tabia ya mfumo wa ubosi ndo imesababisha watoa huduma kuwa waoga na kukaa as if someone is going to do the business on behalf.
 
Enzi za Magu kuna comedy mmoja waziri alifunga geti la ofisi na kusema waliochelewa hawaingii
Yaani kwa maigizo wanajua sana
Ila watz asili ni wavivu
 
Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....

Sa100 karuhusu,sikuhizi rushwa waziwazi kama k ya mbuzi
 
Sio rahisi kuleta mabadiliko kwenye mifumo kwa kutoa maoni au mijadala kwenye social media.
Wenye akili, wanatumia kila njia ikiwemo maandamano kama namna ya kuleta shinikizo la mabadiliko lakini wanaonekana hawana akili.
YAANI WASIO NA AKILI WANA WAONA WENYE AKILI HAWANAZO!

wamemaliza chuo hawana kazi, sio shida yao
gharama za maisha kupanda sio shida yao
huduma za kijamii za msingi ni za hovyo hovyo sio shida kwao,

Wao shida yao ni kwanini humpambi na kumtukuza mama, wao shida yao ni chadema!
 
Akingia ofisini saa mbili na nusu
Saa tatu kamili tu anaenda kunywa chai, supu anarudi saa tano kamili
Saa sita kamili ikifika anaenda lunch
Anarudi ofisini saa nane na nusu
Huko lunch ni kupiga stori,umbea tu
Akingia saa nane na nusu Ana zuga mpk tisa kamili anasepa nyumbani
Kuendelea na mizunguko yake
Ratiba hiyo ni ya wiki nzima

Alafu akirudi home anakuambia
Today I was very bizeee [emoji1]

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaa sana
 
Kuna thread kama hizi nyingi tu zilisababisha serikali ikatoa maamuzi na kuboresha vitu fulani.
 
Ongezea hapo juu ni matapeli na wezi
 
Akingia ofisini saa mbili na nusu
Saa tatu kamili tu anaenda kunywa chai, supu anarudi saa tano kamili
Saa sita kamili ikifika anaenda lunch
Anarudi ofisini saa nane na nusu
Huko lunch ni kupiga stori,umbea tu
Akingia saa nane na nusu Ana zuga mpk tisa kamili anasepa nyumbani
Kuendelea na mizunguko yake
Ratiba hiyo ni ya wiki nzima

Alafu akirudi home anakuambia
Today I was very bizeee [emoji1]

Ova
Halmashauri ya kinondoni Kuna dada Mmoja yeye ni story muda wote na client Yuko mbele yake Wala hajali.

Anakunywa chai muda sio wa chai na chai ananywea kwenye desk la kutoa huduma.

Sijui Huwa hawana subordinates Hawa
 
Unataka awe sharp wakati watoto wake hawajaripoti skuli,hajui kesho watakula nini na bili ya maji ametumiwa kwenye simu?Jiongeze.Mpatie hela!
naamin alianza kaz akiwa hana familia kubwa au hana familia kabisa , kwann anakuja kuwa na familia kubwa kuliko kipato chake ? au anafanya kaz bure?
 
Akingia ofisini saa mbili na nusu
Saa tatu kamili tu anaenda kunywa chai, supu anarudi saa tano kamili
Saa sita kamili ikifika anaenda lunch
Anarudi ofisini saa nane na nusu
Huko lunch ni kupiga stori,umbea tu
Akingia saa nane na nusu Ana zuga mpk tisa kamili anasepa nyumbani
Kuendelea na mizunguko yake
Ratiba hiyo ni ya wiki nzima

Alafu akirudi home anakuambia
Today I was very bizeee [emoji1]

Ova
hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom