Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno....
Kwa sababu kiboko Yao ameshakufa

Mda wao hu wa kula bata
 
😂Wewe ni mtumishi wa umma. Najua hatuwezi kumaliza
Siwezi kufanya kazi ya laana kama hiyo mkuu ila nimeandika nn kinatakiwa kifanyike unapoenda kupata huduma kwenye hizi ofisi mbali na hapo utalalamika sana muda muda muda ila ukiongea na watu viziri chap unasaidika hata kama ulikuja wamwisho
 
Jitahidi sana uongee na watu vizuri kuwa mcheshi mbona uchangamfu upo mimi napiga simu tu nahudumiwa kama nipo ofisi husika ila ni kitu unakotengeneza ili usiteseke na sio lazima utoe hela......


Salimia watu uhudumiwe vizuri


Kwamba salaam ni lazima?

Umeajiriwa kutoa huduma kwa hiyari yako na sidhani Kama makubaliano ya malipo ni salaam kutoka kwa wahudumiwa.

Kama huwezi kufanya kazi mpaka ubembelezwe kwa salaam kheri ukae nyumbani na gozi lako mbembelezane siku iishe, ofisi waachie wenye nia ya kufanya kazi!
 
Hahahaha....wagonjwa hawaishagi chief...ukicheza na ww utaumwa...kisa umeshinda njaa...wagonjwa hawanaga huruma na mtu au daktari....mtu ukimuhudumia kwa dhamana..akipona anakuona takataka...pesa halipi unabaki kulipa deni kwa mhasibu.. wagonjwa hawajui kama na ww unaweza kuumwa


Kwahiyo suluhisho ni kukaa pembeni kupiga soga na kuacha kutoa huduma?

Kwani hakuna utaratibu wa zamu (shifts) huko maofisini ?

Muda ama siku yako ya mapumziko huwa unaitumia kufanya nini?
 
Kwamba salaam ni lazima?

Umeajiriwa kutoa huduma kwa hiyari yako na sidhani Kama makubaliano ya malipo ni salaam kutoka kwa wahudumiwa.

Kama huwezi kufanya kazi mpaka ubembelezwe kwa salaam kheri ukae nyumbani na gozi lako mbembelezane siku iishe, ofisi waachie wenye nia ya kufanya kazi!
Usitokwe povu nimeelekeza namna ninavyopata urahisi ninapoongea na watu vizuri sio mtoa huduma kwenye maofisi ila nakwenda sana kwenye ofisi hasa za serikali kama unaona salamu sio lazima basi endelea kupata huduma mbovu wenzako wanafika wanaongea vizuri mambo yanakwenda ww utabaki umevimba na hasira na huna la kumfanya anaekuhudumia.

Kuna siku nimeenda pale ofisi moja nikakuta watu wanakwenda kula lakini kwakua naishi nao vyema jamaa alirudi akanihudumia na tukatoka nae na akanipa lift mpka kkoo yote hiyo sio kwamba nampa hela ila kauli ucheshi ndivyo vinafanya mtu akuthamini...


Endelea kudhani zama za magufuli zipo uvimbe kichwa na hata zama zake bado watu tulikua tunaishi nao vyema jambo la week unalipata ndani ya siku mbili jiongeze kiburi hakijawahi mfanya mtu afanikishe jambo lake...

Japo nakiri wafanyakazi wa uma wanazingua ila kuepuka usumbufu ishi nao vyema
 
Back
Top Bottom