Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
Wapendwa watanzania wenzangu, salaam.
Kuna matukio naona yametoweka kabisa au kupungua sana huku Kwetu:
1.Ujambazi wa silaha
2.Ajali za barabarani, hasa mabasi na bodaboda
3.Migogoro ya wakulima na wafugaji
4.Vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga
5.Mgao wa umeme
6.Dharau za watumishi wa umma kwa wananchi wa kawaida
7.Udhalilishaji, vipigo na usumbufu wa askari mgambo kwa wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama wamachinga
8.Rushwa
Ningependa kufahamu hali ikoje maeneo mengine ya nchi.
Kama mwendo ni huohuo basi nadhani itatupasa tusichukulie poa, yaan "we shouldn't take things for granted" (Mheshimiwa Lissu atanisahihisha grammar hiyo) ni vyema kujiuliza nini kimetokea?
Mgosi nina kiu ya kufahamu.
Amani Msumari
Tanga