Huku mapigano yakiendelea Belgorod, wengine waliamsha amsha Bryansk, Urusi ndani

Huku mapigano yakiendelea Belgorod, wengine waliamsha amsha Bryansk, Urusi ndani

Russia kaanza kuchagua miji midogo midogo huko mwanzo alisema ataimaliza Kiev kwa wiki moja mwaka wa pili unaenda wapo busy na drones tu...
 
Ukraine ikifa, ukawa uwanja mkubwa wa vita, hakika hata Russia haitakuwa na amani ktk maisha yao yote.

Na hapo ndipo kutakuwa na utata mkubwa ktk utawala wa Russia.
Putin alikuwa mjinga sana kuweka vita mlangoni mwake
 
Back
Top Bottom