Huku mtaani kwa sasa hakuna mwanasiasa maarufu kuliko Makonda

Kwa huu mgao WA UMEME naona yule Marehemu wa Chato anazidi kuwa maarufu. Watu husema "Mbona wakati wa utawala wake hakukuwa na mgao".
 
Siku Moja nilikuwa mzima Wala sikulewa maana Mimi ni mlokole nilimsikia Mzee wa msoga anauliza mwanasiasa gani maarufu kumzidi saa100,Leo kapatikana ni Makonda.
 
Ninachomaanisha ni kuwa,

Ili uibe, ni shart kuwepo kitu kinachoibwa.

Wananchi wakigomea uchaguzi wasiende kupiga kura kuhofia wizi wa kura,

CCM haitakuwa na kitu Cha kuiba.


Sijui umeelewa?
CCM wenyewe hata wakienda watano wanaweza kumchagua Mbunge au Rais kwa sheria zetu mbovu
 
Uongo na uhuni wa waziwazi ingawa wengi wa matajili ni dhurmati sana lakini chuki haipo kiwango hicho
 

Inasaidia nini kwa sasa sukari ni sh elfu 6000/-kg 1
 
Inaweza ikawa na ukweli sababu Tanzania ni nchi yenye wajinga wengi na wenye akili ni kiduchu
 
Jamaa ana kitu huyu asipuuzwe
 
Mtaani waache kuzungumizia simba na yanga wamajadili makonda, mitaa gani hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…