Nimeona maandamano ya CHADEMA yakiwa na watu wengi tofauti na unavyoelezea hapa. Anyway, kama ni suala la janja ya kushinda uchaguzi, sawa ingawa inaonyesha ujinga mkubwa ulioenea kwenye jamii ya Watanzania kuchukuliwa na cheap propaganda za chama tawala.
Kwa upande mwingine tunajua CCM ipendwe, isipendwe lazima iingie madarakani kwa nafasi inazotaka. Na hawajawahi kukubali kuweka mazingira ya uchaguzi huru na wa haki hata wakati wa Magufuli - anayedaiwa kuwa kiongozi maarufu sana. So, why the desperate propaganda? Bado wanatumainia muujiza wa kupendwa na wananchi?
CHADEMA kumponda Magufuli si kitu cha kushangaza. Huyu ni Rais aliyeazimia kuua upinzani hasa CHADEMA literally, by any means katika kipindi chake. Uchaguzi wa 2019 na 2020 ni ushahidi tosha. Haiyumkiniki uchaguzi wa 2020 CHADEMA kupata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa! Na mengine mengi aliyowafanyia. Halafu unatarajia CHADEMA walione jina la Magufuli kuwa ākete muhimu ya uchaguziā na kuliimbia mapambio? That would be insane for sure!
Hapa ndio CCM inapowapiga magoli kuchukulia swala la kuungwa mkono na wananchi poa.
Hata dictatorship za wazi kama China, Russia na North Korea; zinahitaji public support na wanatumia hela nyingi kwenye nationalism propaganda.
Nyie CCM kutafuta public support mnawaona mafala na hao wananchi wanaojaza mikutano yao mnawaona mazuzu badala ya kujiuliza why wanajazana.
Makonda ni katibu mwenezi watatu chini ya uraisi wa Samia; ushajiuliza mbona wananchi walikuwa awajai hivyo kwenye mikutano ya Shaka, Sophia Mjema. Iweje kwa Makonda wanajazana.
Mbona walikuwa hawajai ivyo kwenye mikutano ya Chongolo au Kinana; why kwa Makonda.
Kama nilivyokwambia awali siasa pia inahitaji kufanya research (similar to that of marketing). You donāt get support kwa kuamini wewe unauelewa mpana (even if it were true) so wananchi wanatakiwa wakuamini utakachowaeleza. It doesnāt work that way it is the other way around unatakiwa uelewe wananchi wanataka nini and exploit that.
Kwenda huko vijijini kuwaambia habari za katiba mpya, sijui sheria ya uchaguzi. Wakati mkulima ana ugomvi locally na afisa kilimo, body ya kununua mazao yake, mtu kaporwa ardhi etc halafu hayo mambo hayo uongelei unadhani ukitoka hapo watakuelewa.
Jifunzeni kwa Makonda akienda huko mikoani apigi porojo za umeme, sijui kupanda kwa bei ya chakula. Kwa sababu hizo sio local issues kila sehemu anatumia muda mwingi ku-address local challenges anazoletewa na hiyo ndio inamfanya kila anapoenda kukuta umati unaongezeka kwa sababu wanajua anaenda kuongea local politics.
Hiyo inakwambia kuna watanzania wanashida luluki all they care ni mtu ambae anaweza pambana na changamoto zao, they donāt care kuhusu hadithi za kutunga za watu kukutwa kwenye viroba, sijui kuzuia media and other national issues wakati wao wenyewe wana matatizo luluki yamewazunguka locally hawana wa kuwasaidia.
CCM hawachukulii local politics poa kwa sababu wanaelewa umuhimu wa support atakama kushindwa uchaguzi ni hadithi. Halafu upinzani ambao hata hizo chance za kushinda uchaguzi ni almost zero halafu hawa 70% ya watanzania wanaoenda kwenye mikutano ya Makonda wanawaona mazuzu.
What you need to understand Magufuli changed the political landscape ya Tanzania kwa wananchi on how they define value kwa value kiongozi. Sasa uhutaji kumtaja Magufuli but you canāt ignore what people want, itās for the opposition to figure out how best to package that info to suit their narrative as an alternative.
Siasa ni science