Huku mtaani Rais Samia hakubaliki kivile, Upinzani wangekuwa na Mikakati 2025 wangeichukua nchi

Huku mtaani Rais Samia hakubaliki kivile, Upinzani wangekuwa na Mikakati 2025 wangeichukua nchi

Nchi inahitaji msaada gani Mkuu??
Watu werevu wapewe nafasi ya kuongoza nchi, sio kila mtu hatoke CCM au haweMAMLUKI wa CCM ndio haonekane na anafaa, nchi hii ya watanzania, hata wasio na VYAMA wana haki ya kusikilizwa. CCM imejimIlikisha kila kitu na sasa inataka mpaka fikra za wananchi wa TZ wajimilikishe.
 
Kwani Chadema haina mikakati ya kushinda uchaguzi!? Unadhani ni kwanini genge la wahuni wa maccm wanahofia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi!? Na unadhani kwanini uchaguzi wa 2020 walipora kupitia polisiccm na Tume FEKI ya uchaguzi!?

Siku zote Taikon ni mtu asiye na unafiki, mapema ukweli mara nyingi. Hivyo ndivyo ninavyojitambulisha.

Mimi sio Mfuasi wala mwanachama wa Chama chochote au mtu yeyote Yule. Kumaanisha nipo huru kusema ukweli...
 
Nilijua jamaa anasema raisi Samia hakubaliki nchini, kumbe anazungumzia mtaa. Bila shaka mleta mada anazungumzia mtaa wa ufika na sio nchi.
 
Umesema sawa. Ila kwa UPINZANI uchwara hawa ambao wanaweka mikakati ya kumuangusha DIAMOND bila kujua kundi la vijana wapenda miziki ya ngono liko nyuma yake HAKUNA KITU

Kuna wakati Mbowe akili ilikuwa vzr tu. Tena baada ya msiba akacheza kete vzr kwa kusema "tumepoteza kiongozi shupavu, pamoja na mapungufu lkn alikuwa anasimamia kile anaamini" na akasema ni kiongozi aliyekuwa na UTHUBUTU" Baadae wameanza kufukuza na kivuli cha marehemu muda wote ni UJINGA

Upinzani umekuwa kosoa kosoa tu hata yaliyo mema, huwezi kukosoa kila mradi mf JNHP, ujenzi wa Barabara kimara, STG , lkn kumbuka kuna Hosp zimejengwa na n.k wajue kupongeza na kukosoa sisi tusio na chama tunao upinzani wao ni upingaji.

Kwenye msiba wangeangalia hisia za walio wengi . Hivi watu wooote waliokuwa wanakimbia kufuatia msiba walilipwa? Kama sio cheza na hisia zao. Nini wanataka? Weka tumaini kupata kupitia nyinyi, mfikiria wanajiuliza kama kipenzi wao wamehujumiwa halafu unakuja kwa furaha NYIIINGI unategemea nini?

Mwisho suluhu ya nchi iko mikononi mwa wananchi wanamaamuzi, lkn kwa kutumia nchi za nje na Taasisi za nje wananchi wakiambiwa mmelipwa na mabeberu kwanini wasiamini?

Upinzani hautaki kukosolewa kwa kuujenga ukitak kuamini nenda TWITER Republic. Ukikosoa unakula BLOCK ile tabia ya kusifu waliyoikataa kwa JpM wanaitaka wao , usifu tu huko Twiter kimsingi walikuwa wanamuonea wivu marehemu kwa wapambe wengi kuwa wanamsifu hata kufannisha na mungu. Ila UPINZANI ukiwakosoa Block inakuhusu.
Ni WAJINGA hususani chama kile wengine wako 50/50.

Hawatashinda. Wamekosa ushawishi na SSH anapata ushawishi ambao hakuwa nao mtaani kupitia wao sasa
 
Si ndio vyombo vya dola hivyo. Na ndio mbeleko ya ccm iliyojificha ndani ya serekali? Wewe jamaa vp?
Hata hilo hulioni? Basi unahitaji miwani.

Naliona
Sasa ninachojiuliza ni Kwa nini waitetee CCM na sio Upinzani?
Kwa nini waone maslahi Yao yatalindwa zaidi CCM ikiwa Madarakani kuliko chama pinzani kikiwa madakarani?

Je Upinzani haujawahikikishia maslahi hivyo vyombo vya Dola?
 
Mpinzani kama zitto au lipumba ambao ni pete na kidole na ccm utarajie wachukue nchi unacheza wewe, wapinzani nilishawashtukia kitambo wanabweka maslahi yao yakiguswa ndio utasikia kelele, lakini kiukweli kama ulivosema Rais Samia kwa sasa hana ushahwishi yaani kaachwa mbali na magufuli
Samia hata familia yake haimkubali kabisa
 
Mkuu Kama umeandika Kisiasa upo sahihi
Lakini kiuhalisia sio kweli.
Ingawaje sikupiga miaka ya 2005 Kurudi nyuma lakini Kwa Hali niliyoikuta nadiriki kusema Upinzani haujawahi kushinda kwenye nchi hii kwenye kiti cha Urais huku Bara

Labda huko Zanzibar naweza kukubali
Bara hawajashinda hata kama ingekuwa kupanga mistari nyuma ya picha ya mgombea ukiacha hii ya tume huru.
Wanadanganyana mjini tu.
Zanzibar inaweza kuwa kweli upinzani ulishinda
 
Shida siyo udhaifu wa SSH ni muundo na uhuru wa majambazi yaitwayo CCM na askariZa waliojimilikisha chama hicho.
Historia itakusaidia- Upinzani umeshinda mara nyingi ajabu
1995 Mrema Lyatonga alimgalaza Mkapa- Mfumo ukafanya yake! hatukujua sana kwa sababu uhuru wa habari ulikuwa gerezani sana na hata zanzibar Maalim alimgalagaza Salmin komandoo vibaya hadi hatua ya gazeti la majira na motomoto kutoa breakdown ya ushindi wa maalim jimbo kwa jimbo - nyerere akaongoza figisu
2000- Zanzibar tena wakaliwa kichwa na wakataka kugoma na fujo kibao hadi mauaji yakatokea na wakimbizi wa kwanza wakapatikana tz huko shimoni mombasa
2005 - Jakaya akachukua kwa kura nyingi lakini zenji figisu zikaendelea
2010- Dr Slaa akamkalagaza mkwere kwa mbali mfumo ukaingilia
2015- Lowasa akalitafuna jiwe bila huruma mfumo ukaiba kama kawaida. Zanzibar ilibidi wafute uchaguzi kumnusuru Shein ambaye alishakubali mapigo
2020- Jiwe akapondwa pondwa kabisa na kijana Antipas Lisu ikabidi waibe mchakato wa uchaguzi wote na kuachana na kura walizozoea kukwapua.

Hivyo CCM iliwahi kushinda mara moja tu! nacho ni kipindi cha kwanza cha Jakaya.

Tuache utani wapiga kura wamechoka- Dawa hapa ni katiba MPYA, Tume huru baaaaasi
Kweli tupu umenena
 
Miongo na michonganishi na inajionaga kama ndo Ina haki kuliko wote
Itakuwa either hauna akili timamu au ni shoga una bwana CCM

Ivi injustice ya kuonea wapinzani yote hii ambayo ata mtoto wa darasa la 3 mwenye akili timamu anaiona utasema wapinzani waongo?

Ufisadi unaofanyika unafanywa na wapinzani?

Watu wanaopotea wanapotezwa na upinzani?

Kama kweli wapinzani ni waongo CCM ni waongo mara 700 na wanafiki
 
Mikakati gani ya kushinda kura zinazopigiwa nyumbani na kuletwa kwenye vituo vya kupigia kura kwenye mabegi? Akili nyingine zinafikirisha sana.
Siku zote Taikon ni mtu asiye na unafiki, mapema ukweli mara nyingi. Hivyo ndivyo ninavyojitambulisha.

Mimi sio Mfuasi wala mwanachama wa Chama chochote au mtu yeyote Yule. Kumaanisha nipo huru kusema ukweli...
 
Mambo ya gender sio KILA sehemu, sehemu nyeti mambo uenda kombo
 
Back
Top Bottom