Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Watu werevu wapewe nafasi ya kuongoza nchi, sio kila mtu hatoke CCM au haweMAMLUKI wa CCM ndio haonekane na anafaa, nchi hii ya watanzania, hata wasio na VYAMA wana haki ya kusikilizwa. CCM imejimIlikisha kila kitu na sasa inataka mpaka fikra za wananchi wa TZ wajimilikishe.Nchi inahitaji msaada gani Mkuu??
Siku zote Taikon ni mtu asiye na unafiki, mapema ukweli mara nyingi. Hivyo ndivyo ninavyojitambulisha.
Mimi sio Mfuasi wala mwanachama wa Chama chochote au mtu yeyote Yule. Kumaanisha nipo huru kusema ukweli...
Si ndio vyombo vya dola hivyo. Na ndio mbeleko ya ccm iliyojificha ndani ya serekali? Wewe jamaa vp?
Hata hilo hulioni? Basi unahitaji miwani.
Miongo na michonganishi na inajionaga kama ndo Ina haki kuliko woteWapinzani wanakosa gani?
Samia hata familia yake haimkubali kabisaMpinzani kama zitto au lipumba ambao ni pete na kidole na ccm utarajie wachukue nchi unacheza wewe, wapinzani nilishawashtukia kitambo wanabweka maslahi yao yakiguswa ndio utasikia kelele, lakini kiukweli kama ulivosema Rais Samia kwa sasa hana ushahwishi yaani kaachwa mbali na magufuli
Bara hawajashinda hata kama ingekuwa kupanga mistari nyuma ya picha ya mgombea ukiacha hii ya tume huru.Mkuu Kama umeandika Kisiasa upo sahihi
Lakini kiuhalisia sio kweli.
Ingawaje sikupiga miaka ya 2005 Kurudi nyuma lakini Kwa Hali niliyoikuta nadiriki kusema Upinzani haujawahi kushinda kwenye nchi hii kwenye kiti cha Urais huku Bara
Labda huko Zanzibar naweza kukubali
Kweli tupu umenenaShida siyo udhaifu wa SSH ni muundo na uhuru wa majambazi yaitwayo CCM na askariZa waliojimilikisha chama hicho.
Historia itakusaidia- Upinzani umeshinda mara nyingi ajabu
1995 Mrema Lyatonga alimgalaza Mkapa- Mfumo ukafanya yake! hatukujua sana kwa sababu uhuru wa habari ulikuwa gerezani sana na hata zanzibar Maalim alimgalagaza Salmin komandoo vibaya hadi hatua ya gazeti la majira na motomoto kutoa breakdown ya ushindi wa maalim jimbo kwa jimbo - nyerere akaongoza figisu
2000- Zanzibar tena wakaliwa kichwa na wakataka kugoma na fujo kibao hadi mauaji yakatokea na wakimbizi wa kwanza wakapatikana tz huko shimoni mombasa
2005 - Jakaya akachukua kwa kura nyingi lakini zenji figisu zikaendelea
2010- Dr Slaa akamkalagaza mkwere kwa mbali mfumo ukaingilia
2015- Lowasa akalitafuna jiwe bila huruma mfumo ukaiba kama kawaida. Zanzibar ilibidi wafute uchaguzi kumnusuru Shein ambaye alishakubali mapigo
2020- Jiwe akapondwa pondwa kabisa na kijana Antipas Lisu ikabidi waibe mchakato wa uchaguzi wote na kuachana na kura walizozoea kukwapua.
Hivyo CCM iliwahi kushinda mara moja tu! nacho ni kipindi cha kwanza cha Jakaya.
Tuache utani wapiga kura wamechoka- Dawa hapa ni katiba MPYA, Tume huru baaaaasi
Itakuwa either hauna akili timamu au ni shoga una bwana CCMMiongo na michonganishi na inajionaga kama ndo Ina haki kuliko wote
Siku zote Taikon ni mtu asiye na unafiki, mapema ukweli mara nyingi. Hivyo ndivyo ninavyojitambulisha.
Mimi sio Mfuasi wala mwanachama wa Chama chochote au mtu yeyote Yule. Kumaanisha nipo huru kusema ukweli...
Kwa tume ipi?
BoyaBora SSH mara elfu kuliko wapinzani waliopo sasa hivi.
Kwa tozo hizi nani anamtakaNilijua jamaa anasema raisi Samia hakubaliki nchini, kumbe anazungumzia mtaa. Bila shaka mleta mada anazungumzia mtaa wa ufika na sio nchi.
Katiba mpya ni kiboko ya CCM.Bila tume huru ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa mkuu
Tusubiri tuoneKatiba mpya ni kiboko ya ccm