Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
View attachment 3514011
My people,
ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?
Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa wanakuja na idea nyingine
Wanataka kuandamana siku ya sikukuu ya Krismass,sababu ni kwamba siku hiyo ni lazima watu watoke waende makanisani kwahiyo serikali haiwezi kuwazuia
Hii ni kuonyesha mbinu zote sasa zimeshindikana sasa wanataka kuzinajisi sherehe za kidini,huu ni ujinga mkubwa mnataka kufanya
Wananchi msikubali huu ujinga hata kidogo,ni wakati sasa wa kutumia akili zenu na sio kufuata au kufanya kila mnachosikia in the name of kuikomboa Tanganyika
Tukubali kwamba tumeishiwa power na hatuwezi kuiangusha serikali ya Mama Samia, sasa tujikite zaidi kupeana elimu ya katiba ili kesho au kesho kutwa mchakato ukianza basi tuwe tunajua yapi ya kuwepo na yapi yasiwepo
Haya makelele ya Maandamano hayana tija tena,sio muda wa kuleta taharuki na kupoteza amani ya nchi yetu,kumbuka mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na mbomoa nchi mwananchi mwenyewe
Kwa niaba ya Team Amani,wakiwemo Invisible Mafia
iamwangdamin
adriz
stakehigh
Na wengine aluta continua
Ni hayo tu!
Kwahiyo upo maji moto na maji baridi kungwi mbobezi wa malavi daviHili la X-mas hata mini nalipinga japo naunga mkono maandamano
Tutaelewana tu mdogo mdogoJambo la serikali yako na chama waambieni WASITOKE na WASIANDAMANE.
Au hamsikilizwi, hamna ushawishi???
Picha ndio kwanza limeanza chiefNafikiri ungepumzika sasa mkuu, kwa Leo imetosha..ifike mahala utambue JF sio chakula
Nimelipwa advance niwaweke sawa vijana waache ujingaMy brother finest from Lumumba street unapiga sana buku saba saba mwanawane 😃😀😃
😀😃😃Dah!Nimelipwa advance niwaweke sawa vijana waache ujinga
Hapana, ila huwezi kuweka protest siku ya sherehe muhimu ya kidini. Naona ni kama mawazo ya kupandikizwa yanayolazimisha maandamano yabebe sura ya machafuko.Kwahiyo upo maji moto na maji baridi kungwi mbobezi wa malavi davi
Hilo nimesema hatulitaki na kama watakazana kulishadadia basi lolote baya litawakuta hao vijana.Hapana, ila huwezi kuweka protest siku za sherehe muhimu ya kidini. Naona ni kama mawazo ya kupandikizwa yanayolazimisha maandamano yabebe sura ya machafuko.
Si sawa kudai haki kwa kuny’ang’anya wengine haki yao ya kuabudu na kukusanyika, itatengeneza chuki na kupunguza mwitikio wa dhati wa watanzania wengi ambao ni wakristo na wanasapoti mabadiliko.
View attachment 3514011
My people,
ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?
Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa wanakuja na idea nyingine
Wanataka kuandamana siku ya sikukuu ya Krismass,sababu ni kwamba siku hiyo ni lazima watu watoke waende makanisani kwahiyo serikali haiwezi kuwazuia
Hii ni kuonyesha mbinu zote sasa zimeshindikana sasa wanataka kuzinajisi sherehe za kidini,huu ni ujinga mkubwa mnataka kufanya
Wananchi msikubali huu ujinga hata kidogo,ni wakati sasa wa kutumia akili zenu na sio kufuata au kufanya kila mnachosikia in the name of kuikomboa Tanganyika
Tukubali kwamba tumeishiwa power na hatuwezi kuiangusha serikali ya Mama Samia, sasa tujikite zaidi kupeana elimu ya katiba ili kesho au kesho kutwa mchakato ukianza basi tuwe tunajua yapi ya kuwepo na yapi yasiwepo
Haya makelele ya Maandamano hayana tija tena,sio muda wa kuleta taharuki na kupoteza amani ya nchi yetu,kumbuka mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na mbomoa nchi mwananchi mwenyewe
Kwa niaba ya Team Amani,wakiwemo Invisible Mafia
iamwangdamin
adriz
stakehigh
Na wengine aluta continua
Ni hayo tu!
Hii ni baada ya kunyimwa misaada au kabla?
trump amekua msemaji wetu liniHii ni baada ya kunyimwa misaada au kabla?
Lini Trump ameanza kuwasemea? Mmemfukuza kazi msigwa?trump amekua msemaji wetu lini
Hapana ni 29 JanuaryView attachment 3514011