Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Watakuelewa wachache ambao tayari mnafanana mtazamo. Threads na comments zako kuhusu maandamano hazina substance ndio maaana unashambuliwa. Hazizingatii ukweli. Ukweli ni kwamba maandamano yanaweza kufanyika peacefully kwa usimamizi wa police kwa gharama ndogo sana kuliko hii inayotumika kuyazuia. Halafu madai mengi ya waandamanaji ni ya kweli.Tangu lini umeona watu wakafurahia dawa chungu! Watu wengi lazima mtachukia haya Team Amani tunayofanya kwakuwa tupo tofauti na nyie kwa mitazamo na maono ya mustakabali wa nchi hii
Lau tungezungumzia kuchoma vituo vya mwendo kasi au kuharibu mali au kuandamana kusikokuwa na dira wala mwelekeo mngelike na kusapoti kwa wingi
Hatupo hapa kupata sapoti yenu bali tupo hapa kupindua Meza, hatupo hap kupendwa bali tupo hapa kusema ukweli na kukemea ujinga,ndio maana wengine dawa imekuwa chungu na kuniweka ignored list which is fine wasije kupata presha
Tutaelewana tu mdogo mdogo
Kuwaambia watu kwamba ni jukumu lao kuhakikisha usalama wao bila kujibu hoja zao za msingi ni kama umelenga kueneza propaganda ila hauna nia njema kujadili hoja zao specific. Wanao ku ignore siwaungi mkono. Ila ukweli unabaki kwamba you are not convincing anyone. Unajifurahisha mwenyewe na vikauli mbiu vyako. Sanasana unfortunately siungi mkono ila utaendelea kutukanwa tu hapa.