Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Waache wajichanganye tu waingie huko barabarani siku ya Krismasi.Hapana, ila huwezi kuweka protest siku ya sherehe muhimu ya kidini. Naona ni kama mawazo ya kupandikizwa yanayolazimisha maandamano yabebe sura ya machafuko.
Si sawa kudai haki kwa kuny’ang’anya wengine haki yao ya kuabudu na kukusanyika, itatengeneza chuki na kupunguza mwitikio wa dhati wa watanzania wengi ambao ni wakristo na wanasapoti mabadiliko.
Kibano wataanza kukipata kutoka kwa raia wema waliochoshwa na ujinga wao.