Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
- #41
Ni dalili tosha dawa imeanza kufanya kaziDogo umekua fala sana. Sina budi kukutaarifu ya kwamba nakuweka ignored list.
Ni dalili tosha dawa imeanza kufanya kaziDogo umekua fala sana. Sina budi kukutaarifu ya kwamba nakuweka ignored list.
kama kuipigania amani ya nchi ni kujidhalilisha na iwe hivyo tuBasi mzee wetu pumzika sasa kazi yako imeonekana kaposho kako kataingia tu siku imeisha hii tayari.... usiendelee kujidhalilisha zaidi.
Nafurahi kusikia hivyo Kataeni kabisa hilo swalaHiyo ya krisimasi haipo na haitakuwepo labda kama mnataka vijana tugeukane sasa.
Asante sana kungwi mbobevu,nimependa maoni yakoHapana, ila huwezi kuweka protest siku za sherehe muhimu ya kidini. Naona ni kama mawazo ya kupandikizwa yanayolazimisha maandamano yabebe sura ya machafuko.
Si sawa kudai haki kwa kuny’ang’anya wengine haki yao ya kuabudu na kukusanyika, itatengeneza chuki na kupunguza mwitikio wa dhati wa watanzania wengi ambao ni wakristo na wanasapoti mabadiliko.
Kama lengo lako la kweli ni kupigania amani nadhani umepotoka kwa hii approach mkuu. Bilashaka wewe mwenyewe umeona mapokeo ya wachangaji kwenye threads na comments zako kuhusu maandamano ni hasi kwa asilimia kubwa. Sasa kuna haja gani kueneza ujumbe uleule ambao ni wazi wengi wanaukataa. Hata kama upo sahihi kuna haja gani kuendelea kueneza ujumbe unaokataliwa. Au unalipwa kuandika chochote? Kama unalipwa kuandika chochote basi anayekulipa naye hana akili.kama kuipigania amani ya nchi ni kujidhalilisha na iwe hivyo tu
Huyu kinega nimemfatilia kitambo sana, Ana damu za akina mwijaku na baba levo.Naona umewatag wangese wenzio
Safi sanaHawaoni watakuwa wanasapoti agenda ya udini kwa kuandamana siku ya krismas? Itaonekana ni maandamano ya wakristo. Ila ndugu Etugrul Bay nikuhakikishie kuwa haitawezekana kwa sababu krismas ni siku inayoheshimika zaidi na wakristo wa Tanzania na huwa ni siku maalum ya familia. Wachaga wote hupotea mjini na kujichimbia migombani wakila na kunywa. Hakuna mtu atapoteza muda kuandamana kwenye hiyo siku.
Mkuu Kalamu,Nawe siku zote humu hujifanya kuwa na 'moderation' za kujifichaficha; lakini sasa naona joto limezidi inalazimu kila mmoja wenu atoe kila alicho nacho kulinda jahazi lisizame.
Hili ni swala abalo sasa halizuiliki mkuu 'Ertuglu' (mturuki).
Samia na kKikwete wamelivuruga vibaya sana; hasa kwa kuruhusu kumwaga damu ya waTanzania isiyokuwa na hatia yoyote.
Haya maswala ya dini mnayoyaweka mbele sasa ili yawasaidie kubaki madarakani, matukio yake ni yale yale mnayoyajuwa. Mtaitawala Tanzania ambayo ni mithili ya Sudan?
Sasa kama wewe unaona ukombozi wa nchi hii unasimamiwa na hao "wanaharakati", ambao wewe unaona lebo hiyo ni mbaya zaidi ya uovu anaoufanya Samia Suluhu Hassan, basi acha wawe wanaharakati, matokeo yoyote yatakayopatikana kwa uanaharakati huo yakisaidia kuondoa uovu wa Samia Suluhu na Genge lake, waTanzania hawatajali hiyo lebo unayowavika hao watu.
Bila shaka sasa unasubiri hiyo serikali ipige marufuku waTanzania kushiriki Xmas; na baada ya hapo itakuwa nini; sherehe gani itakaypigwa marufuku?
Hiyo unadhani bado itakuwa ni nchi ya kujivunia hiyo?
Hizo ni game minds za wahuni. Hakuna maandamano any more. Wanataka kutengeneza chaos itakayoshusha uchumi na kuhangaisha jeshi na wanasiasa. Kama watafanya hivyo wananchi watawachukia vibaya sana. Wasijaribu kabisa kufanya hivyo maana krismas ni muda wao wa kuomba mungu na kutumia na familia.View attachment 3514011
My people,
Ukifuatilia kile kinachofanywa na wanaharakati hakika utashangaa huwa wanafikiria nini?
Baada ya kupanga tarehe za maandamano na Serikali kuchomoa waya kwenye betri kila uchwao,sasa wanakuja na idea nyingine
Wanataka kuandamana siku ya sikukuu ya Krismass,sababu ni kwamba siku hiyo ni lazima watu watoke waende makanisani kwahiyo serikali haiwezi kuwazuia
Hii ni kuonyesha mbinu zote sasa zimeshindikana sasa wanataka kuzinajisi sherehe za kidini,huu ni ujinga mkubwa mnataka kufanya
Wananchi msikubali huu ujinga hata kidogo,ni wakati sasa wa kutumia akili zenu na sio kufuata au kufanya kila mnachosikia in the name of kuikomboa Tanganyika
Tukubali kwamba tumeishiwa power na hatuwezi kuiangusha serikali ya Mama Samia, sasa tujikite zaidi kupeana elimu ya katiba ili kesho au kesho kutwa mchakato ukianza basi tuwe tunajua yapi ya kuwepo na yapi yasiwepo
Haya makelele ya Maandamano hayana tija tena,sio muda wa kuleta taharuki na kupoteza amani ya nchi yetu,kumbuka mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe na mbomoa nchi mwananchi mwenyewe
Kwa niaba ya Team Amani,wakiwemo Invisible Mafia
iamwangdamin
adriz
stakehigh
Na wengine aluta continua
Ni hayo tu!
nyani haoni kundule. kaka wewe unamuona sana jf basi hata wewe anakuona sana jf (mnaonana)Nafikiri ungepumzika sasa mkuu, kwa Leo imetosha..ifike mahala utambue JF sio chakula
Ndg Eyce,Mtu nikishachat nae kwa muda,anaweza fake muandiko ila hawezi fake personality,
Anaweza fake mawazo ila hawezi fake thinking pattern na flow yake.
Issue ni dini au nini, mbona upo too intelligent for such gibberish.
Nyie ndio mnaendeleza hili suala la udini kwa kuchukulia kila kitu katika lenzi ya udini...Ndg Eyce,
Sipo kidini hata kidogo ila naona madhara ambayo yanaweza kutokea iwapo hili swala la maandamano yasiyo na Dira wala mwelekeo yakiachwa bila kukemewa
Sasa yanapopangwa kwenye sikukuu za kidini je yanakusudia nini?
Kwa hiyo unawaomba na kuwasihi vijana wapuuze na wasiandamane kwa sababu watauliwa..Mkuu Kalamu,
Huenda nimekuwa kati kwa kati pale mambo mambo yamekuwa hayana madhara sana kwa jamii yetu au kwa watu wengi
Lakini kinachotokea sasa kinawaumiza watu wengi sana,kwa mazingira kama haya inabidi tujitokeze baadhi tuyakemee haya
Huwezi amini mimi sipo Lumumba wala sina kadi ya chama cha mbogamboga,lakini mambo yakiharibika hakuna mwenye chama na asiye na chama wote tunaharibikiwa
Na binafsi sifanyi hivi kwa mlengo wa kidini,kwani dini yangu inasema tenda haki hata kwa asiye kuwa muislamu au hata kwa mpagani
Upande wa Serikali pamoja na maovu yao mengi lakini wameomba wapewe muda kuleta mchakato wa katiba ambayo naamini itakuwa ni suluhu kwa mambo mengi sana
Tuwe na subira
Mazingira ya kuandamana sio salama kabisa .Kwa hiyo unawaomba na kuwasihi vijana wapuuze na wasiandamane kwa sababu watauliwa..
Kwa hiyo kipi unapaswa kufanya,
kuwaambia watu wapuuze madai yao kwa sababu wakipaza sauti watauliwa ama wewe unapaswa kuiambia serikali yako iache kuua unarmed civilians.
Sijawahi kuingia this extreme ila mkuu bisha ukatae. Hii si suala la nchi. Ni udini wako ndio unakupofusha, there is no way ukawa this dumb
Tupo tunaolalamika 👋🏼Nyie ndio mnaendeleza hili suala la udini kwa kuchukulia kila kitu katika lenzi ya udini...
Wakristu hatupo hivyo mkuu ndio maana hujasikia mapadre, wachungaji au wakristu wakilalamika.
Na kwa mtu mwenye akili kama wewe, this is too low yani. Hufanani na hizo posts mkuu
Naheshimu maoni na msimamo wako. 👏🏾👏🏾👏🏾Tupo tunaolalamika 👋🏼
Mimi ni mkristo ambaye naunga mkono maandamano na mabadiliko ila napinga kwa nguvu zote kupangwa siku ya Krismas.
Hii ni siku muhimu kiimani na ni sikukuu ya kifamilia, mbali na kuwa ya kidini.
Ni jukumu langu mimi au aliyewaumiza ?...Mazingira ya kuandamana sio salama kabisa .
Sioni Kama hiyo ni njia sahihi .
Kwakuwa hao vijana wakiuliwa na kupata ulemavu je mtawasiidia .
Au jiulize vijana ambao wako katika wheel chair mpaka sasa mnawasiadia !?
Ni jukumu langu mimi au aliyewaumiza ?...
Kwa nini wengi mnakwepa hili kuwa waliopiga risasi hata kwa watu waliokuwepo majumbani ndio wanapaswa kuwa accountable.
Sio mimi, sio wewe..
Kama misiba ya ajali, watu hupelekwa hospitali na kugharamiwa. Why not kwa hawa
Hujui kuna watoto wameona wazazi na ndugu zao wakiuliwa?..
Ni nani atakaeponya nafsi na kutuliza hasira ya hiyo trauma.
Unadhani watu wasipoingia barabarani ndio usalama..
Bhasi hujasoma historia za mauaji ya halaiki yaliyotokea nchi nyingi ikiwemo Rwanda..
Mioyo iliyojeruhiwa huwa haiponi na ikifanyika suppression. Au kumpa mbwa jina baya. Surely, huo ubaya utarudi tena..
Sitaki baya litokee nchi hii, sisupport chochote kiovu ila, kwa nchi yetu kupona, inabidi ukweli uruhusiwe, watu waponywe majeraha.. This is important
Mchakato wa katiba ndiyo chanzo cha maandamano unayoyapinga? Watu wanaandamana kwasababu ya utekaji, kukamatwa wanaopinga matendo ya uonevu au ya kifisadi ya serikali, kukamatwa kwa kutoa tu maoni yanayopingana na mitazamo ya watawala, kukosa ajira etc. Rais Samia anahitaji katiba mpya kutatua haya? Be honest "expert" wangu . Acha kurukaruka. Ukweli unaujua.Upande wa Serikali pamoja na maovu yao mengi lakini wameomba wapewe muda kuleta mchakato wa katiba ambayo naamini itakuwa ni suluhu kwa mambo mengi sana