Huku raia wakipigwa na Israel Mahmoud Abbas apiga picha na Blinken.Habari zilipovuja Blinken akakimbizwa mbio

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Shambulio la Hamas la oktoba 7 ilikuwa ni sababu na kisingizio cha Israel kutekeleza ajenda zake za muda mrefu nazo ni kuifuta kabisa Palestina.
Ukweli huo unaonekana katika kuongezeka kwa mashambulizi ya jeshi la IDF na walowezi kwa kila raia wa Palestina maeneo aliko Mahmoud Abbas wa PLO.
Katika hali kama hizo viongozi wa Marekani wamekuwa wakipita huku na huko wakiwatuliza viongozi wa nchi za kiarabu na kuipa nafasi Israel kuendelea kupiga kila kitu kuanzia watu hadi mapipa ya maji.
Jana waziri wa nchi wa Marekani alikuwa na mazungumzo na viongozi wa baadhi ya nchi za kiarabu ambapo kwa mara nyengine na bila kumung''unya maneno aliweka wazi uungaji mkono wa taifa lake kwa Israel katika vita vilivyoanza kama kuwatafuta na kuwafuta Hamas.
Viongozi hao wa kiarabu kwa upande wao walitoa matamko ya kiakili japo hayana mashiko ya kivitendo.
Baada ya kuweka wazi kuunga mkono vita Blinken aliwataka viongozi hao kujadili nini kitakachofuata baada ya Hamas kushindwa na vita kuisha.Katika mapendekezo yake alisema anataka eneo hilo likabidhiwe vikosi vya kimataifa kama njia ya mpito kuelekea serikali ya Palestina.
Naibu waziri mkuu wa Jordan,ambako mkutano huo ulifanyika akamwambia hakuna haja ya kujadili suala la mbele wakati la muhimu kwanza ni kusitishwa kwa vita na kuokoa maisha ya watu.
Bila haya kiongozi huyo wa Marekani leo alikwenda maeneo ya Jeruisalem kwa kificho kukutana na Mahmoud ili kumshawishi kuunga mkono kupigwa kwa Hamas kutakapopelekea kukabidhiwa eneo la Gaza na serikali ya Palestina.
Pamoja na ushawishi wa kimadaraka,Blinken pia alimshawishi Mahmouud Abbas kwa pesa akimwambie zile pesa za kodi za wapalestina zilizozuiwa na Israel karibuni atapewa yeye katika serikali yake.
Habari za kikao cha Mahmoud Abbas na Blinken zilipovuja hali ilikuwa tete na haikuwezekana kukamilika kwa kikao hicho katika namna ya kufanya majumuisho mbele ya waandishi wa habari.
Kilichotokea ni kukimbizwa Blinken chini ya ulinzi mkali akiwa ndani ya vifaru na magari ya jeshi ili kumlinda na vurugu ambalo lingetokea na kuziba njia.Hata hivyo picha za mwanzo za mazungumzo hayo zilipatikana kuthibitisha kuwa kweli alifika ofisi za Mahmoud Abbas kwa kificho.

1699194194985.png
 
Kama mpango ni huo mbona uko viziri sana? Unataka amani nawakati hamasi Bado ameshikilia mateka wa Israel? Nani alikwambia waislam na warabu wenye misimamo mkali mashariki ya kati wanataka amani? Octoba 7 Si uliona shangwe na ndelemo Kwa wayahudi kuchinjwa? Warabu walifanya maandamano ya kupongeza hamasi Huku Irani akijiapiza siku akipata boom la nyukilia ataifuta Israel kwenye ramani ya Dunia, kwa mazingira hayo Israel hana uchaguzi mwingine isipokuwa vita na kuangamiza Hamas na maadui zake wengine, hata hivo warabu wamshukuru USA kwa kumpoza Israel vinginevyo angekuwa ameshatumia tactical nuclear kumshambulia Hamas na Iran. Tena nchi za kiarabu wawe makini sera ya Israel atakapoona anashindwa vita lazima watumie silaha za Nyuklia kumuangamiza adui.
 
View attachment 2804896

Kwahiyo wewe ulikua ndani ya hichokikao cha siri hadi kusikia mazungumzo yao?[emoji28]

Pole sana gaza inasafishwa magaidi lazima yauwawe?
 
Silaha ya nyuklia juzi ilirushiwa kombora.Nani kakwambia kuwa silaha ya nyuklia ndio nguvu kubwa katika dunia.
 
Kwahiyo wewe ulikua ndani ya hichokikao cha siri hadi kusikia mazungumzo yao?[emoji28]

Pole sana gaza inasafishwa magaidi lazima yauwawe?
Nimepewa taarifa na waliokuwepo
 
Waarabu ni mafala sana na hawa ndo wanapendwa na marekani
 
Mazungumzo ndo njia pekee kumaliza mzozo
 
Kama mpango ni huo mbona uko viziri sana? Unataka amani nawakati hamasi Bado ameshikilia mateka wa Israel? Nani alikwambia waislam na warabu wenye misimamo mkali mashariki ya kati wanataka amani? Octoba 7 Si uliona shangwe na ndelemo Kwa wayahudi kuchinjwa? Warabu walifanya maandamano ya kupongeza hamasi Huku Irani akijiapiza siku akipata boom la nyukilia ataifuta Israel kwenye ramani ya Dunia, kwa mazingira hayo Israel hana uchaguzi mwingine isipokuwa vita na kuangamiza Hamas na maadui zake wengine, hata hivo warabu wamshukuru USA kwa kumpoza Israel vinginevyo angekuwa ameshatumia tactical nuclear kumshambulia Hamas na Iran. Tena nchi za kiarabu wawe makini sera ya Israel atakapoona anashindwa vita lazima watumie silaha za Nyuklia kumuangamiza adui.
Inaitwa Samson ideology
 
Mkuu unajitahidi sana kuleta nyuzi nyingi hapa lakini tatizo lako uwongo unakuwa mwingi kuliko uhalisia.Yani Blinken eti aende kwa kificho kukutana na Abbas [emoji3].Kama siyo wewe basi kuna mwenzio nae alikuja na mihemko ya kuwa Blinken kapewa za Uso hadi akaondoka Egypt[emoji3][emoji3].Hivi mnadhani huwa mnatuletea hizi mada sisi ni kuwa hatuna uelewa au huwa mnajaribu kutuelezea tu kile kilichomo kwenye akili zenu kuliko uhalisia wa mambo yenyewe.
 
Kwahiyo wewe ulikua ndani ya hichokikao cha siri hadi kusikia mazungumzo yao?[emoji28]

Pole sana gaza inasafishwa magaidi lazima yauwawe?
Yani anatuandikia utadhani sisi ni watoto wadogo.
 
Kama mpango ni huo mbona uko viziri sana? Unataka amani nawakati hamasi Bado ameshikilia mateka wa Israel? Nani alikwambia waislam na warabu wenye misimamo mkali mashariki ya kati wanataka amani? Octoba 7 Si uliona shangwe na ndelemo Kwa wayahudi kuchinjwa? Warabu walifanya maandamano ya kupongeza hamasi Huku Irani akijiapiza siku akipata boom la nyukilia ataifuta Israel kwenye ramani ya Dunia, kwa mazingira hayo Israel hana uchaguzi mwingine isipokuwa vita na kuangamiza Hamas na maadui zake wengine, hata hivo warabu wamshukuru USA kwa kumpoza Israel vinginevyo angekuwa ameshatumia tactical nuclear kumshambulia Hamas na Iran. Tena nchi za kiarabu wawe makini sera ya Israel atakapoona anashindwa vita lazima watumie silaha za Nyuklia kumuangamiza adui.
Uharo.
 
Shambulio la Hamas la oktoba 7 ilikuwa ni sababu na kisingizio cha Israel kutekeleza ajenda zake za muda mrefu nazo ni kuifuta kabisa Palestina.
Ukweli huo unaonekana katika kuongezeka kwa mashambulizi ya jeshi la IDF na walowezi kwa kila raia wa Palestina maeneo aliko Mahmoud Abbas wa PLO.
Katika hali kama hizo viongozi wa Marekani wamekuwa wakipita huku na huko wakiwatuliza viongozi wa nchi za kiarabu na kuipa nafasi Israel kuendelea kupiga kila kitu kuanzia watu hadi mapipa ya maji.
Jana waziri wa nchi wa Marekani alikuwa na mazungumzo na viongozi wa baadhi ya nchi za kiarabu ambapo kwa mara nyengine na bila kumung''unya maneno aliweka wazi uungaji mkono wa taifa lake kwa Israel katika vita vilivyoanza kama kuwatafuta na kuwafuta Hamas.
Viongozi hao wa kiarabu kwa upande wao walitoa matamko ya kiakili japo hayana mashiko ya kivitendo.
Baada ya kuweka wazi kuunga mkono vita Blinken aliwataka viongozi hao kujadili nini kitakachofuata baada ya Hamas kushindwa na vita kuisha.Katika mapendekezo yake alisema anataka eneo hilo likabidhiwe vikosi vya kimataifa kama njia ya mpito kuelekea serikali ya Palestina.
Naibu waziri mkuu wa Jordan,ambako mkutano huo ulifanyika akamwambia hakuna haja ya kujadili suala la mbele wakati la muhimu kwanza ni kusitishwa kwa vita na kuokoa maisha ya watu.
Bila haya kiongozi huyo wa Marekani leo alikwenda maeneo ya Jeruisalem kwa kificho kukutana na Mahmoud ili kumshawishi kuunga mkono kupigwa kwa Hamas kutakapopelekea kukabidhiwa eneo la Gaza na serikali ya Palestina.
Pamoja na ushawishi wa kimadaraka,Blinken pia alimshawishi Mahmouud Abbas kwa pesa akimwambie zile pesa za kodi za wapalestina zilizozuiwa na Israel karibuni atapewa yeye katika serikali yake.
Habari za kikao cha Mahmoud Abbas na Blinken zilipovuja hali ilikuwa tete na haikuwezekana kukamilika kwa kikao hicho katika namna ya kufanya majumuisho mbele ya waandishi wa habari.
Kilichotokea ni kukimbizwa Blinken chini ya ulinzi mkali akiwa ndani ya vifaru na magari ya jeshi ili kumlinda na vurugu ambalo lingetokea na kuziba njia.Hata hivyo picha za mwanzo za mazungumzo hayo zilipatikana kuthibitisha kuwa kweli alifika ofisi za Mahmoud Abbas kwa kificho.

View attachment 2804896
ACHA WALE KICHAPO SI WALIANZA WAO
NA ULE MPANGO WA WAISLAMU NA WAAJEMI WA IRANI CHINI YA AYATOLLAH KHOMEIN WA KUIFUTA ISRAEL KWENYE RAMANI YA DUNIA TOKA MWAKA 1979 UMEISHIA WAPI 🤣🤣🤣
 
Mkuu unajitahidi sana kuleta nyuzi nyingi hapa lakini tatizo lako uwongo unakuwa mwingi kuliko uhalisia.Yani Blinken eti aende kwa kificho kukutana na Abbas [emoji3].Kama siyo wewe basi kuna mwenzio nae alikuja na mihemko ya kuwa Blinken kapewa za Uso hadi akaondoka Egypt[emoji3][emoji3].Hivi mnadhani huwa mnatuletea hizi mada sisi ni kuwa hatuna uelewa au huwa mnajaribu kutuelezea tu kile kilichomo kwenye akili zenu kuliko uhalisia wa mambo yenyewe.
Kwa uhakika wewe unajikweza tu lakini uko chini sana katika ufuatiliaji.Hakuna ambacho nimekileta hapa na ikawa hakina ushahidi.
Inashangaza mpaka leo hujaona kuwa Blinken alipigwa za Uso Misri na aliachwa kwenye mataa Saudi Arabia.
Kuhusu Blinken kwenda Ramallah kwa kificho kwenye kifaru na kutimka mbio katikati ya msafara wa kijeshi na kabla kumaliza ratiba imegusiwa hapa.Wewe tu ndio unaona hawa watu ni mashujaa sana

Blinken Meets Palestinian President in West Bank as Gaza Assault Escalates

Kuwa na bidii ya kuflood hii forum na vijithread vingi vingi ambavyo havina maana inaonyesha kiwango cha dissapointment uliyonayo kichwani mwako na unaamua kujifariji kwa hizi mada nyingi unazoanzisha.Sote tunaona kinachoendelea kule Gaza na hata huo mkutano wa Blinken na Abbas.Hakuna ukweli wowote katika unachotuletea.Tuache kuwaamini wanaofanya coverage live tukuamini wewe kweli 😀😀
 
Back
Top Bottom