Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Kazi ya mama ni njema sanaNtashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei.
Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako.
Tuwe Kama wazungu sio kila siku MTU unawaza chakula na kodi tujitahidi kuishi kwa mipango na mikakati ya Muda mrefu.

Hali ni nzuri sanaUnadhani hatupendi kufanya hivyo?
tatizo mzunguko wa fedha ndugu Mwalimu.
Oy kwel???Kahama kilo moja ya mchele 600
Sikupingi maana pengine unazungumzia hali ya hewa.Hali ni nzuri sana
Tabora hakunaga mchele mbaya.Mchele huo upo vizuri tu?