Huku Tabora kilo moja ya mchele imefika 800 (mia nane)

Ntashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei.

Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako.

Tuwe Kama wazungu sio kila siku MTU unawaza chakula na kodi tujitahidi kuishi kwa mipango na mikakati ya Muda mrefu.
Chezea mama Samia wewe. Maza noma yani tutanenepa balaa. Safi sana maza utawale hadi ukinai
 
Ntashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei.

Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako.

Tuwe Kama wazungu sio kila siku MTU unawaza chakula na kodi tujitahidi kuishi kwa mipango na mikakati ya Muda mrefu.
Kila mtu angetamani kufuata ushauri wako, lakini watanzania wengi mlo wake wa siku inafika mpaka mchana hajawa na uhakika wa siku hiyo kama atafanikisha.
 
Back
Top Bottom